jamiif
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 2,413
- 995
- Thread starter
- #61
pole kwa mawazo yako hasi kuwa nimeisaliti ndoa yangu...NO! haya mambo nakutana nayo kwenye madaladala, hata humu maofisini, hali ni hizo hizo..kwa kuwa sio muda wote ninakuwa na mahabuba wangu, ninakuwa kazini pamoja na mihangaiko mingine ndio maana nakumbana na kadhia hizo..naona mada imekugusa sana hii....
Sasa kama wa kwako hana hili tatizo umejuaje
basi itakuwa umeisaliti ndoa yako ukawa umekutana na waaina hii na siyo wanaume tu wanawake ndio usiseme kabisa yaaani wananuka kama nini
ama ulipanda kwenye hais ndio ukaona hiyo harufu
duuuu pole kwa yaliyokusibu bwana