Wanaume wanapenda wale wanawake wanaowapa hard time

Wanaume wanapenda wale wanawake wanaowapa hard time

Kuna mwingine ukimkubalia mara moja anakuona cheap. Na kama alikuwa anatania ukasema yes ndo imekula kwako

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa experience yangu mimi wanawake wanaonikubaliaga haraka ndo huwa wenye mapenzi ya kweli na mimi (though kuna exceptions, mwanamke mwingine anakukubali haraka then baada ya s#x humuoni tena) Khantwe
 
WORD! [emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji1433][emoji106]

Unaongea points tu. Huwa niko very straight, nikiona mtu haeleweki sipendagi kujiumiza, unaweza kuta mtu ana sehem yake nyingine. Kwangu napenda unifungukie na kunieleza ukweli tu kam hauko tayari kuliko unizungusheeee mpaka unanichosha. So far nishaumizwagwa sana kwa hiyo style ya sitaki-nataka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo wanavyosemaga, ila honestly mara nyingu ukiwa a good person ni sawa na kusign a pain warrant, there is always a price to pay. Utampenda mtu, give him/her your all, mwisho wa siku unaonekana unabore au una uhaba wa watu wa kukupenda sijui, yani unaonekana kama unamganda huna other options mweeh. Unampa mtu your attention utaambiwa unamsuffocate, sijui his life doesn't revolve around you khaaa. It's so easy kuwa a bad person kuliko kuwa a good one coz mara nyingi utakuwa underappreciated and compromised, ila ukishaondoka ndo umuhimu wako unaonekana. So being good is something that only strong people can undertake . Cha msingi tu, be a good person when it matters, and a shitty one when it doesn't. Ila ikitokea ukampata a good person pia daaaaah
Kichocheo cha penzi imara...
1. Mwamini mwenzio, mhoji na msikilize then mfikie muafaka
2. Kuwa muwazi... (kama ni wanandoa... hasa kipato chako halali maana hapa ndipo kwa sasa pana sumu kali)
3. Mpe uhuru... Mwache awe na uhuru wake binafsi... hobbies zake, marafiki zake

Vingine ntavisema nikimaliza hii nyagi
 
Sometimes men fail to read between the lines too.

Yeah, mm mwanamke aki play hard to get, naona hajavutiwa na mimi so namuacha aende, kama usha observe cku hizi wanaume wengi hawatumii miezi 2 kutongoza, mtu anamwaga sera halafu akiona mwanamke hueleweki eleweki anasepa fasta Sky Eclat
 
Kichocheo cha penzi imara...
1. Mwamini mwenzio, mhoji na msikilize then mfikie muafaka
2. Kuwa muwazi... (kama ni wanandoa... hasa kipato chako halali maana hapa ndipo kwa sasa pana sumu kali)
3. Mpe uhuru... Mwache awe na uhuru wake binafsi... hobbies zake, marafiki zake

Vingine ntavisema nikimaliza hii nyagi
Chicken party
 
I don wanna be a good one anymorw...nilimpenda mdada naona akaniloa mute no kunjibu text nothing nkajua kashaniona zoba coz i was too good....niliamua to be baaad ...now naliliwa sasa na **** siku nilimchana mdada kuwa akivotoka kwangu mwingine alikuja tuka do mpaka asubuhi....aliumia ila bado tuko pamoja. Butvin short when you are good you are in danger.. ..now i have many girls because am not good anmore...but i treat them well bed n normal issues

Sent using Jamii Forums mobile app
Em fuatilia mara nyingi watu wanaolizwa haswa na mapenzi ni watu wa aina gani. Na usiwe surprised kujua bad girls wengi ndo wanaolewa. Sijui tuna matatizo gani kuappreciate watu wanaotupenda kweli, hadi tufanywe options ndo tunaona thamani yao. Kuna watu wanakufanyia mabaya na wanamove on happily, yani hawakumbuki lolote. Ilhali mwenzangu na mimi ukimkosea tu mtu kidogo basi unajibebesha liburden of guilt hilooo, unaumiaaaa. Teh usiombe uwe na moyo wa kupondeka + it's not easy kuchange the "real inner you" kwa sababu tu watu wamekuumiza, still utakuwa tu strong na utajaribu kuwaelewa tu and you wont hurt them back mweeeh.
 
SEDUCE ME na SDGs WAPI NA WAPI?

Ukiona anataka pasua kichwa basi ujue na yeye pasua kichwa

Real men hupenda kuwa na wanawake wanaojielewa kama alivyosema ONTARIO

Tafiti upya Sky Eclat
 
Kichocheo cha penzi imara...
1. Mwamini mwenzio, mhoji na msikilize then mfikie muafaka
2. Kuwa muwazi... (kama ni wanandoa... hasa kipato chako halali maana hapa ndipo kwa sasa pana sumu kali)
3. Mpe uhuru... Mwache awe na uhuru wake binafsi... hobbies zake, marafiki zake

Vingine ntavisema nikimaliza hii nyagi
Haha nasubiri umalize nyagi yako
 
Wanawake bhana, sasa ina maana gani mimi niendelee kukutongoza tena, wakati ulishaniambia "NO". Si itakuwa kama nakusumbua au.... Sakayo
 
Back
Top Bottom