RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,038
- 137,774
Mwanzo ulikuwa na vistori vitamu kuhusu kwa mtogole...siku hizi umekuwa mlalamishi kweli kweli!Ukiwa mpole kama kondoo kwenye mahusiano hawa watu hawapendi wanapenda wanawake pasua kichwa.
Mwanzo ulikuwa na vistori vitamu kuhusu kwa mtogole...siku hizi umekuwa mlalamishi kweli kweli!Ukiwa mpole kama kondoo kwenye mahusiano hawa watu hawapendi wanapenda wanawake pasua kichwa.
Kuwa katikati...moto si moto, baridi si baridi yaani unpredictable.Ukiwa a bad girl ooh hunifai pasua kichwa, ukiwa a good girl jiandae kufanywa an indispensable doormat. imbombo ngafu mweeh
Itakuwa "mbuzi keshaingia kwa muuza supu"!Mwanzo ulikuwa na vistori vitamu kuhusu kwa mtogole...siku hizi umekuwa mlalamishi kweli kweli!
'no comment' says a lot....No comment
Ha ha ha ha....nimecheka mwenyewe kama mwehu!Itakuwa "mbuzi keshaingia kwa muuza supu"!
Kwangu mimi HAPANA pasua kichwa NOOOUkiwa mpole kama kondoo kwenye mahusiano hawa watu hawapendi wanapenda wanawake pasua kichwa.
Kweli tunatofautiana....mimi ukinikubali haraka ndio najua unanizimia sana...ukinizungusha naona nalazimisha mbuzi kunywa maji mtoni.Kuna mwingine ukimkubalia mara moja anakuona cheap. Na kama alikuwa anatania ukasema yes ndo imekula kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mtu mtaratibu sana ila ukipasua kichwa jua nakupasua mwili mzima alafu unakula red card...Ukiwa mpole kama kondoo kwenye mahusiano hawa watu hawapendi wanapenda wanawake pasua kichwa.
Ukiwa mpole kama kondoo kwenye mahusiano hawa watu hawapendi wanapenda wanawake pasua kichwa.
na tupicha chako unogeshe stori[emoji23] [emoji23] hapana mkuu hiyo siku niliyokuwa naitamani haikuwahi kufika
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa mpole kama kondoo kwenye mahusiano hawa watu hawapendi wanapenda wanawake pasua kichwa.
Sky wanaume hawapendi pasua kichwa...Mimi ni mtu mtaratibu sana ila ukipasua kichwa jua nakupasua mwili mzima alafu unakula red card...
Na mara nyingi ndo inakuwa hivyo sasa wengine huwa wanachukuliaje sijui mtu akikubali harakaKweli tunatofautiana....mimi ukinikubali haraka ndio najua unanizimia sana...ukinizungusha naona nalazimisha mbuzi kunywa maji mtoni.
Not everyone is a mind reader or psychologistSometimes men fail to read between the lines too.
Ukiwa a bad girl ooh hunifai pasua kichwa, ukiwa a good girl jiandae kufanywa an indispensable doormat. imbombo ngafu mweeh