Wanaume wanapenda wale wanawake wanaowapa hard time

Wanaume wanapenda wale wanawake wanaowapa hard time

Mbona wapole mnawaacha?
Ndo wanavyosemaga, ila honestly mara nyingi ukiwa a good person ni sawa na kusign a pain warrant, there is always a price to pay. Utampenda mtu, give him/her your all, mwisho wa siku unaonekana unabore au una uhaba wa watu wa kukupenda sijui, yani unaonekana kama unamganda huna other options mweeh. Unampa mtu your attention utaambiwa unamsuffocate, sijui his life doesn't revolve around you khaaa. It's so easy kuwa a bad person kuliko kuwa a good one coz mara nyingi utakuwa underappreciated and compromised, ila ukishaondoka ndo umuhimu wako unaonekana. So being good is something that only strong people can undertake . Cha msingi tu, be a good person when it matters, and a shitty one when it doesn't. Ila ikitokea ukampata a good person pia daaaaah
 
Mwanaume mwenye lengo unamtambua kwa mazungumzo yake.. Wapo ambao sio king'ang'anizi akiona huna jibu la maana anakuacha hapo
Unaongea points tu. Huwa niko very straight, nikiona mtu haeleweki sipendagi kujiumiza, unaweza kuta mtu ana sehem yake nyingine. Kwangu napenda unifungukie na kunieleza ukweli tu kam hauko tayari kuliko unizungusheeee mpaka unanichosha. So far nishaumizwagwa sana kwa hiyo style ya sitaki-nataka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: BAK
mwanamke pasua kichwa ninae mtaka mimi ni great thinker,critical thinking na anaejielewa.. hao pasua kichwa kwa fujo,vitimbi na mikiki ndo pasua ndoa!
 
Ndo wanavyosemaga, ila honestly mara nyingu ukiwa a good person ni sawa na kusign a pain warrant, there is always a price to pay. Utampenda mtu, give him/her your all, mwisho wa siku unaonekana kama una uhaba wa watu wa kukupenda sijui, yani unaonekana kama unamganda huna other options mweeh. Unampa mtu your attention utaambiwa unamsuffocate, sijui his life doesn't revolve around you khaaa. It's so easy kuwa a bad person kuliko kuwa a good one coz mara nyingi utakuwa underappreciated and compromised, ila ukishaondoka ndo umuhimu wako unaonekana. So being good is something that only strong people can undertake . Cha msingi tu, be a good person when it matters, and a shitty one when it doesn't. Ila ikitokea ukampata a good person pia daaaaah
I don wanna be a good one anymorw...nilimpenda mdada naona akaniloa mute no kunjibu text nothing nkajua kashaniona zoba coz i was too good....niliamua to be baaad ...now naliliwa sasa na **** siku nilimchana mdada kuwa akivotoka kwangu mwingine alikuja tuka do mpaka asubuhi....aliumia ila bado tuko pamoja. Butvin short when you are good you are in danger.. ..now i have many girls because am not good anmore...but i treat them well bed n normal issues

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Real men want a woman who inspires them, sio mwanamke kilaza zaaa, A Woman Who Is Emotionally Mature... ukinipasua kichwa imekula kwako boss.
Lakini wew sio mzoefu coz hupendi madem[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nguzo za upendo baina ya mwanamke na mwanaume ni mbili tu
Sisi wanaume tunahitaji RESPECT , na wanawake wao wanahitaji CARE. Hivo viwili vikitendeka basi mapenzi lazima yaahamiri
 
Hawatabiriki kabisaa... Ila huyo wa kukuona cheap kama alikuwa na lengo kweeeli atakuoa... Kwenye mapenzi la muhimu ni upendo wa kweli tuu... Hawa play boy ndo changamotoo
Nimegundua napaswa kufungua darasa kubwa sana la maswala ya uhusiano...

Vijana wangu wataangamia kwa kukosa maarifa...
 
Back
Top Bottom