Dogo unatiririka mno aisee mpaka unanitishaEm fuatilia mara nyingi watu wanaolizwa haswa na mapenzi ni watu wa aina gani. Na usiwe surprised kujua bad girls wengi ndo wanaolewa. Sijui tuna matatizo gani kuappreciate watu wanaotupenda kweli, hadi tufanywe options ndo tunaona thamani yao. Kuna watu wanakufanyia mabaya na wanamove on happily, yani hawakumbuki lolote. Ilhali mwenzangu na mimi ukimkosea tu mtu mdogo basi unajibebesha liburden of guilt hilooo, unaumiaaaa. Teh usiombe uwe na moyo wa kupondeka + it's not easy kuchange the "real inner you" kwa sababu tu watu wamekuumiza, still utakuwa tu strong mweeeh.
Umeuacha lini ujana?Nimekumbuka ujanani tu babu teh
Haha unaogopa nini kubwa? Basi tu sina mood ya kuandika leo hahaha
Miaka mingi tu, nshakuwa mhengaUmeuacha lini ujana?
ungelijua kuwa wanaume tunapenda mwanamke yule ambaye any time tukiomba papuchi ataitoa yote bila kigugumizi, wala usingejifariji kwa maneno yako haya. mtu anayetupatia hard time lazima huwa tunatafuta sehemu ya kwenda kupunguza stress, kumlipiza kisasi kwa michepuko etc. cha kwanza papuchi, cha pili heshima na huduma. basi.Ukiwa mpole kama kondoo kwenye mahusiano hawa watu hawapendi wanapenda wanawake pasua kichwa.
kwa mazungumzo hamuwezi kututambua kwasababu huwa tunapretend kupita maelezo. the real picture yetu sisi utaiona baada ya kukaa na sisi miaka kuanzia miwili na baada ya kuzaa watoto kuanzia wawili. hapo ndio picha halisi mtaiona, before that huwa ni kupretend na lazima una mibadala mingi tu nje. upendo wa kweli huja either baada ya kumpokea Yesu, au kama ndo mtu wa duniani, baada ya kuchoka maisha ya infidelity...unasema sasa ngoja nibadilike, na hapo ujue una watoto na unaogopa utapotea watoto wabaki yatima.Mwanaume mwenye lengo unamtambua kwa mazungumzo yake.. Wapo ambao sio king'ang'anizi akiona huna jibu la maana anakuacha hapo
unamtambuaje mwanaume mwenye lengo?Mwanaume mwenye lengo unamtambua kwa mazungumzo yake.. Wapo ambao sio king'ang'anizi akiona huna jibu la maana anakuacha hapo
Kinyume cha pasua kichwa ni nini vile??
Babe, nshatimiza wajibu wangu.Hilo swali muulize Aspirin
anhaa nimekuelewa kiongoziKinyume cha pasua kichwa ni nini vile??
Ndivyo alivyo Sky Eclat
Nikimwambia aje Bunju, huwa hajiulizi mara mbili. Na anavyoondoka toka kwa Mtogole, mpaka anafika Bunju hapa katikati anapishana na vikwazo vingi... ambavyo anavishinda bila malalamiko...
Sijui umenielewa au nitumie tamathali za semi?
hili jambo hata sisi wanaume tunakutana nalo sana, pindi mwanamke anapokuwa na nia na wewe she can pretend to be an angel, ila ukimpa nafasi akaingia anaanza visanga vya kutaka kukutawala, anajaribu kukuyumbisha awe yeye ndio mwenye kauli dhidi ya mipango yako.Hapo mwanaume asipo simama nae anajikuta katika mtihani mkubwa mno.Ndio maana nikasema hilinjambo linaloitwa mahusiano ni gumu mno.Mkuu kupitia uzoefu wa maisha, ile umeamua mimi nitulie ndani anakuona mjinga ndiyo anaanza ukipanga wake.
Doh!!your mom must have been intelligent,
and I guess your mom exceeds your dad 's intelligence,
You are looking for your 'mother' in your relationship;
its not a bad thing,but you need to be flexible,
you might waste years finding this person,
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Hawatabiriki hao ujue.. Unaweza kosa mume kimchezomchezo
AbeeDada[emoji23] [emoji23]