Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,305
Tatizo mitihani tofauti ukiangalizia majibu imekula kwako
Kama utani vileWewe utaanzaje uhusiano na mtu ambae you don't have much in common with?
Hawa wanajielewa muakiliMwanaume mwenye lengo unamtambua kwa mazungumzo yake.. Wapo ambao sio king'ang'anizi akiona huna jibu la maana anakuacha hapo
Yaani umejuajeKuna mwanaume ukimwambia hapana wala hageuki nyuma tenaa, sasa kama Ulikuwa unatania inakula kwako.... Hamna kitu kizuri kama kuwa halisi, hasa linapokuja swala la mahusiano
Je kama wakija ndugu zako na shida hafu nikawapa pesa ya project utajisikiajeTena usiwe mnafiki, kama tumepanga pesa yote tunayopata ni ya project, siyo unawaona ndugu zako wana shida unawapa pesa unawaambia lakini flani asijue, huoni kuwa unanijengea uhasama?
Confusion is in your mind not from other personMmmh. Ukisema A siku hizi wao wanataka B. Ukiwa mpole utasikia nataka mwanamke rafiki kwangu,ambae tutaongea tutacheka na kufanya hivi na vile. Confusion
Watu hawajui upendo ni Nini na matawi ya upendo ni UPINilisoma kitabu cha Buddhist, wanasema matatizo binadamu tumekuwa wabinafsi sana, kama tungeishi kwa upendo kama ule unaompenda dada na kaka yako uliozaliwa nao, duniani kuna kila kitu cha kumtosha kila mtu. Nikakumbuka maneno ya Yesu, Amri kubwa ninawaachia mpendane.
Tatizo siyo wao utakuwa wewe maana hurleweki wewe unataka niniNdio maana nikasema ikiwa A wao wanataka B. Hawaeleweki
Hao watakaa sana sidhani MTU ahangaike na kusoma ahangaike na maisha ahangaike pia kukupata wewe hii haikubalikiHakuna formula mkuu, ingawaje kuwa expensive ni pride ya mwanamke. We do play hard to get.
Mi siko hivyo...Katika uchunguzi wangu binafsi nilioufanya nimegundua katika mahusiano wanaume wanapenda patashika. Ukiwa mpole kama kondoo kwenye mahusiano hawa watu hawapendi wanapenda wanawake pasua kichwa.
Kwani mada imesema Mimi au nyingi wanaume??
Nani wasiotabirika sasa?
![]()
Unaweza jikubali,unaweza kuwa halisi yet you get the wrong person. Unapata pretender ambae ana act kama wewe ulivyo stil it gonna be confusion in your mind?? Sio kila unaekutana nae unadhani atakuwa real person as you are. That's why unasema wengine ukikutana nao anasema nilikuwa nakutania,mean while anataka kama sitaki nataka.Confusion is in your mind not from other person
Jikubali ulivyo tembea ktk uhalisia wako ukiwa jeuli tulia na jeuri yako utampata tu anayetaka jeuri
Ukiwa mpole tulia na upole wako kwani utampata anayetaka mpole
Ukiwa pasua kichwa tulia na upasu wako utampata tu pasua kichwa mwenzio
Shida unaipata pale unapovaa ngozi isiyo yako unaanza kuigiza utakimbiwa na wote
Anayekupenda mpende asiyekupenda achana naye
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukipata anaye pretend then you know siyo right personUnaweza jikubali,unaweza kuwa halisi yet you get the wrong person. Unapata pretender ambae ana act kama wewe ulivyo stil it gonna be confusion in your mind?? Sio kila unaekutana nae unadhani atakuwa real person as you are. That's why unasema wengine ukikutana nao anasema nilikuwa nakutania,mean while anataka kama sitaki nataka.
Comment ya mwaka hii , hawa wenzetu ni pasua kichwa jamani khaaaHawatabiriki hao ujue.. Unaweza kosa mume kimchezomchezo
Yaani we acha tuuu.... Hata kama alikuwa serious ukidengua kidogoo tuu anaondoka kiukweli.... Hawasomeki kabisaa.....Comment ya mwaka hii , hawa wenzetu ni pasua kichwa jamani khaaa