Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,495
Nyie wanaume jamanii.... Oops kumbe wewe ni babu...Nani wasiotabirika sasa?
![]()
Shkamo... Naona bibi anguu alikuwekea msimamo
Nyie wanaume jamanii.... Oops kumbe wewe ni babu...Nani wasiotabirika sasa?
![]()
[emoji23][emoji28][emoji28] hahahha, bora wewe umelijua hiloHawatabiriki hao ujue.. Unaweza kosa mume kimchezomchezo
Mi mwanamke pasua kichwa apite mbali kuleee.....Nyie wanaume jamanii.... Oops kumbe wewe ni babu...
Shkamo... Naona bibi anguu alikuwekea msimamo
Unasoma alama za nyakati mkuu[emoji23][emoji28][emoji28] hahahha, bora wewe umelijua hilo
The kuwa 50/50...Ukiwa a bad girl ooh hunifai pasua kichwa, ukiwa a good girl jiandae kufanywa an indispensable doormat. imbombo ngafu mweeh
KwakweriUnasoma alama za nyakati mkuu
Ukiwa mpole kama kondoo kwenye mahusiano hawa watu hawapendi wanapenda wanawake pasua kichwa.
Hata serikali haitaki mtu conscious sana,sio mtu mjuaji mjuaji,unamwambia nataka maji ya kuoga we unaanza kuniletea beijing zako,unaweza ozea kwenu hivihiviReal men want a woman who inspires them, sio mwanamke kilaza zaaa, A Woman Who Is Emotionally Mature... ukinipasua kichwa imekula kwako boss.
Hahaha....unaakili sana weweHawatabiriki hao ujue.. Unaweza kosa mume kimchezomchezo
OoohMi mwanamke pasua kichwa apite mbali kuleee.....
Umesema kweli mamaa. Hawa jamaa pasua kichwa. Be yourself na utampata yule wa kukukubali hivyohivyo ulivyo...usiigize upole wakati we machachari na usiigize umachachari wakati we mpole utajiumiza bure na mume ukamkosa vilevileHawatabiriki hao ujue.. Unaweza kosa mume kimchezomchezo
Kuna mwanaume ukimwambia hapana wala hageuki nyuma tenaa, sasa kama Ulikuwa unatania inakula kwako.... Hamna kitu kizuri kama kuwa halisi, hasa linapokuja swala la mahusianoUmesema kweli mamaa. Hawa jamaa pasua kichwa. Be yourself na utampata yule wa kukukubali hivyohivyo ulivyo...usiigize upole wakati we machachari na usiigize umachachari wakati we mpole utajiumiza bure na mume ukamkosa vilevile
Sent using Jamii Forums mobile app
Exactly hiyo ndo priority ya kwanza binafsi.kichwan kwanza mengine yanawahusu wazaramo[emoji6]Real men want a woman who inspires them, sio mwanamke kilaza zaaa, A Woman Who Is Emotionally Mature... ukinipasua kichwa imekula kwako boss.
Kuna mwingine ukimkubalia mara moja anakuona cheap. Na kama alikuwa anatania ukasema yes ndo imekula kwakoKuna mwanaume ukimwambia hapana wala hageuki nyuma tenaa, sasa kama Ulikuwa unatania inakula kwako.... Hamna kitu kizuri kama kuwa halisi, hasa linapokuja swala la mahusiano
Lakini wewe mbona sio pasua kichwa sasa?