Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,495
Sawa babuNimegundua napaswa kufungua darasa kubwa sana la maswala ya uhusiano...
Vijana wangu wataangamia kwa kukosa maarifa...
Sawa babuNimegundua napaswa kufungua darasa kubwa sana la maswala ya uhusiano...
Vijana wangu wataangamia kwa kukosa maarifa...
Miss u badlyAbee
Same to me brotherMiss u badly
Hebu kujaSame to me brother
Nikuje wapi kakaHebu kuja
Mwisho wa cku tunabak kuwa wanawake tu... najijua ni mkal ctak kero za kupelekeshwa pelekeshwa kama kondoo!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes and NoUkiwa mpole kama kondoo kwenye mahusiano hawa watu hawapendi wanapenda wanawake pasua kichwa.
That is how it works.your mom must have been intelligent,
and I guess your mom exceeds your dad 's intelligence,
You are looking for your 'mother' in your relationship;
its not a bad thing,but you need to be flexible,
you might waste years finding this person,
The same to wanawake asee,, kuna dem m1 alikuaga side chick wngu enzi za college, tulivoachanaga akabak mshikaji cku 1 ndo akavunguka kuwa alikuwa pa1 na vitimbi vyangu vyote ye alistick sbb nlikuwa nampa hard time,,hahah[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ukiwa mpole kama kondoo kwenye mahusiano hawa watu hawapendi wanapenda wanawake pasua kichwa.
That is how it works.
Girls often look for their "father" in potential husbands if they perceive them as role models
Kuna billionea mmoja Marekani alioa akiwa kijana wakati akiwa hana kitu. Muajiriwa tu wa kawaida na mke mama wa nyumbani. Baada ya kununua shares huku na kule pesa zikachanganya mara milionea hadi bilionea na mama akiendelea kutunza nyumba na kusimamia kila kitu kuhusu watoto wao.
Njemba ikapata dogo dogo na kutangaza divorce ili ioe dogo dogo. Mama akasema hakuna shida nilipe tu haki yangu ya miaka yote tuliyoishi pamoja. Njemba ikasema hukuchangia chochote zaidi ya kuwa mama wa nyumbani. Nitakukatia kitu kidogo cha kukusitiri katika maisha yako mapya.
Mama akagoma na kufungua kesi kudai pasu kwa pasu. Hakimu akakubaliana naye kwamba ule uwepo wake nyumbani kuangalia kila kitu nyumbani ikiwemo watoto wao ulimpa billionaire peace of mind ya kuweza kufanya yake ili kutengeneza pesa. Hivyo hakimu akaamuru yule Mama alistahili 50% ya utajiri wa bilionaire.
Njoo kwangu sikuachiMbona wapole mnawaacha?
ooh its true...its damn tTRUEEE....inner us iko pale pale basi tu..ila experience nayo shapes the person....Em fuatilia mara nyingi watu wanaolizwa haswa na mapenzi ni watu wa aina gani. Na usiwe surprised kujua bad girls wengi ndo wanaolewa. Sijui tuna matatizo gani kuappreciate watu wanaotupenda kweli, hadi tufanywe options ndo tunaona thamani yao. Kuna watu wanakufanyia mabaya na wanamove on happily, yani hawakumbuki lolote. Ilhali mwenzangu na mimi ukimkosea tu mtu kidogo basi unajibebesha liburden of guilt hilooo, unaumiaaaa. Teh usiombe uwe na moyo wa kupondeka + it's not easy kuchange the "real inner you" kwa sababu tu watu wamekuumiza, still utakuwa tu strong na utajaribu kuwaelewa tu and you wont hurt them back mweeeh.
Ina make so much senseNguzo za upendo baina ya mwanamke na mwanaume ni mbili tu
Sisi wanaume tunahitaji RESPECT , na wanawake wao wanahitaji CARE. Hivo viwili vikitendeka basi mapenzi lazima yaahamiri
Hio namba 3 inategemea na akili ya mwanamke..Wengi wanashindwa kuutumia huo uhuru sikuhizi, ukawilii kukuta anakichafua whatsapp au fbKichocheo cha penzi imara...
1. Mwamini mwenzio, mhoji na msikilize then mfikie muafaka
2. Kuwa muwazi... (kama ni wanandoa... hasa kipato chako halali maana hapa ndipo kwa sasa pana sumu kali)
3. Mpe uhuru... Mwache awe na uhuru wake binafsi... hobbies zake, marafiki zake
Vingine ntavisema nikimaliza hii nyagi
Im in bro...hapo tu yani, mwanamke asie na excuses ukitaka K hapo ana chances kubwa za kusajiliwa hata kama yupo daraja la awali.ungelijua kuwa wanaume tunapenda mwanamke yule ambaye any time tukiomba papuchi ataitoa yote bila kigugumizi, wala usingejifariji kwa maneno yako haya. mtu anayetupatia hard time lazima huwa tunatafuta sehemu ya kwenda kupunguza stress, kumlipiza kisasi kwa michepuko etc. cha kwanza papuchi, cha pili heshima na huduma. basi.
binafsi napenda sana mwanamke muelewa hata kama unajamaa au huna muhimu ninapohitaji kujua kitu kutoka kwako unisikilize then utanijuulisha sio kujifanya mgumu. zamani nilikua king'ang'anizi but now nakupotezea fasterKatika uchunguzi wangu binafsi nilioufanya nimegundua katika mahusiano wanaume wanapenda patashika. Ukiwa mpole kama kondoo kwenye mahusiano hawa watu hawapendi wanapenda wanawake pasua kichwa.
Katika uchunguzi wangu binafsi nilioufanya nimegundua katika mahusiano wanaume wanapenda patashika. Ukiwa mpole kama kondoo kwenye mahusiano hawa watu hawapendi wanapenda wanawake pasua kichwa.