Wanaume wanapenda wale wanawake wanaowapa hard time

Wanaume wanapenda wale wanawake wanaowapa hard time

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,425
Katika uchunguzi wangu binafsi nilioufanya nimegundua katika mahusiano wanaume wanapenda patashika. Ukiwa mpole kama kondoo kwenye mahusiano hawa watu hawapendi wanapenda wanawake pasua kichwa.
 
Ukiwa mpole kama kondoo kwenye mahusiano hawa watu hawapendi wanapenda wanawake Padua kichwa.
0fgjhs3mg15b6vmedg.9a8b813c.jpg
 
Mimi simo kwenye kundi hilo na wanaume wengi hawamo humo. Mapenzi ni kupeana raha ya maneno matamu matamu na matendo ya kupeana utamu. Kuwemo kwenye penzi kama uko vitani kila siku ni misuko suko maudhi vitimbi na karaha zisizo kwisha hapana kabisa! Muda wa kujiumiza kichwa sinao na hao pasua kichwa wakafie mbali na pasua vichwa wenzao.

Ukiwa mpime kama monsoon jwenye mahusiano hawa watu hawapendi wanapenda wanawake Padua kichwa.
 
Sifa ya kondoo humsikiliza mchungaji wake maana sauti ya mchungaji wake huijua, kondoo sauti ngeni hua hazifati. Ili mambo yaende vizuri, mwanamke anatakiwa akubali kuongozwa na mwanaume akubalu kumfata mwanamke kutokana na kile anacho muongoza. Hapo mambo hubalance kabisaa
 
Dada umesema, cha msingi muwe makini ktk kujua yupi ni mkweli. Akina sisi ni rahisi kukata Tamaa. Na Kuna wengine ukimzungusha sana anajua itakua unajamaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume mwenye lengo unamtambua kwa mazungumzo yake.. Wapo ambao sio king'ang'anizi akiona huna jibu la maana anakuacha hapo
 
Mimi simo kwenye kundi hilo na wanaume wengi hawamo humo. Mapenzi ni kupeana raha ya maneno matamu matamu na matendo ya kupeana utamu. Kuwemo kwenye penzi kama uko vitani kila siku ni misuko suko maudhi vitimbi na karaha zisizo kwisha hapana kabisa! Muda wa kujiumiza kichwa sinao na hao pasua kichwa wakafie mbali na pasua vichwa wenzao.

Ile kumweleza tu kitu unasali kwanza amani iwepo
 
Real men want a woman who inspires them, sio mwanamke kilaza zaaa... ukinipasua kichwa imekula kwako boss.

your mom must have been intelligent,

and I guess your mom exceeds your dad 's intelligence,

You are looking for your 'mother' in your relationship;

its not a bad thing,but you need to be flexible,

you might waste years finding this person,
 
Back
Top Bottom