Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,311
- 40,128
Sure boss kula na like
usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
usisahau vya kusahau kabla kusahau hAkujakusahau wewe uliye sahau
Kwamba mnapenda Fbuddy?? Au??Ni neno hili Maserati f.uck buddy
Nowadays very few do play hard to get, my dear!!Hakuna formula mkuu, ingawaje kuwa expensive ni pride ya mwanamke. We do play hard to get.
Well saidMwanaume mwenye lengo unamtambua kwa mazungumzo yake.. Wapo ambao sio king'ang'anizi akiona huna jibu la maana anakuacha hapo
It's not so easy, kuwasoma mnataka nini ni ngumu mno. Kumbuka saikolojia ya mwanamke na mwanaume ni mbingu na ardhi.Sometimes men fail to read between the lines too.
Na kumkubalia ni hatua ya kwanza.... Siku zoote mwanaume mwenye malengo ya muda mrefu hawezi kukuambia muende guest huku mmekutana tu jana...Unaweza kumkubalia kama kawaida, kwa maana ya kufahamina kwanza na kutengeneza urafiki, yeye akadhani umemkubalia kwenda "guest na kufanya tendo la ndoa"
Huwa najiuliza, mda gani unatosha kufahamiana hadi kupeana uroda? (bearing in mind that wengi siku hizi hawaoani bila kujuana)
Unaweza kutoka kazini ukamsalimia shikamoo mke wangu.
Kuna mwingine ukimkubalia mara moja anakuona cheap. Na kama alikuwa anatania ukasema yes ndo imekula kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine anakuoa mnaishi kwenye chumba, mambo yamechanganya mmejenga nyumba anakwambia unaishi kama Cinderella happily ever after, jamani hivi ninavyofua, kupika na kukutengea chakula huoni kisa wewe ndiyo mleta pesa.
Kuna mwanaume ukimwambia hapana wala hageuki nyuma tenaa, sasa kama Ulikuwa unatania inakula kwako.... Hamna kitu kizuri kama kuwa halisi, hasa linapokuja swala la mahusiano
Umenikumbusha kuna kaka mmoja nilikuwaga nampenda vibaya mno nlisemaga siku akinitokea tu ni yes bila kumung'unya maneno [emoji85] [emoji85] [emoji85]Inategemea na ntu na ntu. Mwingine anaweza kuhisi huyu alinipenda siku nyingi ila alikuwa hana jinsi na mwingine akasema huyu ni jamvi la wageni.
Ilikuwa haki yake masikini na ile miaka billionaire hana pesa kuna psychological issues mama alidili nazo ambazo huwezi kuzisemaKuna billionea mmoja Marekani alioa akiwa kijana wakati akiwa hana kitu. Muajiriwa tu wa kawaida na mke mama wa nyumbani. Baada ya kununua shares huku na kule pesa zikachanganya mara milionea hadi bilionea na mama akiendelea kutunza nyumba na kusimamia kila kitu kuhusu watoto wao.
Njemba ikapata dogo dogo na kutangaza divorce ili ioe dogo dogo. Mama akasema hakuna shida nilipe tu haki yangu ya miaka yote tuliyoishi pamoja. Njemba ikasema hukuchangia chochote zaidi ya kuwa mama wa nyumbani. Nitakukatia kitu kidogo cha kukusitiri katika maisha yako mapya.
Mama akagoma na kufungua kesi kudai pasu kwa pasu. Hakimu akakubaliana naye kwamba ule uwepo wake nyumbani kuangalia kila kitu nyumbani ikiwemo watoto wao ulimpa billionaire peace of mind ya kuweza kufanya yake ili kutengeneza pesa. Hivyo hakimu akaamuru yule Mama alistahili 50% ya utajiri wa bilionaire.