Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,367
- 161,495
Na wengi ndivyo walivyo mkuu... We ukisema hapana yatoshaa, kama Ulikuwa watania sijui utamkuta wapiii tena uanze kujichekeshaWatongozaji wakuambiana nakuhitaji wamebaki wachache cku hizi, alafu kuna umuhimu gani wakung'ang'ania uliooambiwa hapana?. Binafsi ukiniambia hapana kama nmelazimika kukutongoza kifuatacho nikuchimba kamwe sigeuki.