Wanaume wanapenda wale wanawake wanaowapa hard time

Wanaume wanapenda wale wanawake wanaowapa hard time

Kuna mwingine ukimkubalia mara moja anakuona cheap. Na kama alikuwa anatania ukasema yes ndo imekula kwako

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawatabiriki kabisaa... Ila huyo wa kukuona cheap kama alikuwa na lengo kweeeli atakuoa... Kwenye mapenzi la muhimu ni upendo wa kweli tuu... Hawa play boy ndo changamotoo
 
Mmmh. Ukisema A siku hizi wao wanataka B. Ukiwa mpole utasikia nataka mwanamke rafiki kwangu,ambae tutaongea tutacheka na kufanya hivi na vile. Confusion
 
..na ndio maana mahusiano ya siku hizi yamekuwa na changamoto nyingi. "Ndoa nyingi zimejengwa juu ya udongo laini(pesa na ngono)"
Nilisoma kitabu cha Buddhist, wanasema matatizo binadamu tumekuwa wabinafsi sana, kama tungeishi kwa upendo kama ule unaompenda dada na kaka yako uliozaliwa nao, duniani kuna kila kitu cha kumtosha kila mtu. Nikakumbuka maneno ya Yesu, Amri kubwa ninawaachia mpendane.
 
Mmmh. Ukisema A siku hizi wao wanataka B. Ukiwa mpole utasikia nataka mwanamke rafiki kwangu,ambae tutaongea tutacheka na kufanya hivi na vile. Confusion
Sasa utakuaje rafiki wakati yeye hakuelezi mipango yake?
 
Hawatabiriki kabisaa... Ila huyo wa kukuona cheap kama alikuwa na lengo kweeeli atakuoa... Kwenye mapenzi la muhimu ni upendo wa kweli tuu... Hawa play boy ndo changamotoo
Unaweza kumkubalia kama kawaida, kwa maana ya kufahamina kwanza na kutengeneza urafiki, yeye akadhani umemkubalia kwenda "guest na kufanya tendo la ndoa"

Huwa najiuliza, mda gani unatosha kufahamiana hadi kupeana uroda? (bearing in mind that wengi siku hizi hawaoani bila kujuana)
 
Ndio maana nikasema ikiwa A wao wanataka B. Hawaeleweki
Wengine anakuoa mnaishi kwenye chumba, mambo yamechanganya mmejenga nyumba anakwambia unaishi kama Cinderella happily ever after, jamani hivi ninavyofua, kupika na kukutengea chakula huoni kisa wewe ndiyo mleta pesa.
 
Unaweza kumkubalia kama kawaida, kwa maana ya kufahamina kwanza na kutengeneza urafiki, yeye akadhani umemkubalia kwenda "guest na kufanya tendo la ndoa"

Huwa najiuliza, mda gani unatosha kufahamiana hadi kupeana uroda? (bearing in mind that wengi siku hizi hawaoani bila kujuana)
Hakuna formula mkuu, ingawaje kuwa expensive ni pride ya mwanamke. We do play hard to get.
 
Back
Top Bottom