BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,533
- 3,840
Wakuu,
Hivi inawezekanaje mwanaume rijali kabisa analilia Noah za Acacia?
Hawa wanaume ni wanaume hawa hawa wenye gololi mbili au ni kina James Delicious?
Acheni undezi wanaume, tupigeni kazi tununue Noah zetu. Sio mnalilia Noah ambazo wanaume wenzenu wamezitolea jasho migodini
Shubamiiit