Wanaume wananichukulia tofauti na nilivyo

Learn to be feminine...no man wants another man as a partner my dear...
Jifunze kuongea polepole kwa sauti ya chini,aibu ya kike kiasi,be more caring and loving,supportive,usiwe mgumu na kimbelefront all the time,let ur man take care of things and you esp in public, deka na umdekeze mpenzi wako,dress like a woman,...inshort do everything like a woman...life is really sweet this way

Kama nakuona vile....
 
hapo sasa.. yani mimi nikiona panya au mende kama kuna mwanaume naruka hata juu ya kabati napanda afu akisha muua najifanya nimefikaje huku njoo nishushe looh... mwanamke raha ujue kudeka loh

hahah umeona ehh,,mi nimegundua men wanapenda kudekewa sanaaa...basi hapo atataka akubebe tu ,ila raha sana yani
 
Learn to be feminine...no man wants another man as a partner my dear...
Jifunze kuongea polepole kwa sauti ya chini,aibu ya kike kiasi,be more caring and loving,supportive,usiwe mgumu na kimbelefront all the time,let ur man take care of things and you esp in public, deka na umdekeze mpenzi wako,dress like a woman,...inshort do everything like a woman...life is really sweet this way

umekosea !
am very cool.
 
pole,jitahidi uwe na swaga za kike,pia tulia utampata aliye wako.
 
Nani yupo tayari kuleteana habari za kibabe ndani?

Nlishawahi kudate na mwanamke wa aina yako tena mwanasheria, yani ilikuwa vurugu kila kukicha.

Kitu kidogo kikitokea atafoka, atakuandikia magazeti ya sms hadi ujute. Halafu hampendi kuambiwa ukweli ambao mnatakiwa mbadilike mnakuwa wakali sana, mnaona kama mnaonewa vile.

Kuna vitu vilivyo juu ya uwezo wenu hamviwezi kuvifanya mnalazimisha na mkishindwa mnaishia kumlaumu kila alie mbele yenu, hasa wapenzi wenu.
 
Hahaha...et magazeti...hata wewe unaonekana hupendi kuambiwa ukweli
 
Bila shaka una tabia shupavu, nothing comes from nowhere! Lazima kuwe na sababu..

Hebu anza kuvaa kike, suruali tupa kule, badili mitindo yote ya maisha ambayo unahisi iko ndivyo sivyo..
 
Learn to be feminine...no man wants another man as a partner my dear...
Jifunze kuongea polepole kwa sauti ya chini,aibu ya kike kiasi,be more caring and loving,supportive,usiwe mgumu na kimbelefront all the time,let ur man take care of things and you esp in public, deka na umdekeze mpenzi wako,dress like a woman,...inshort do everything like a woman...life is really sweet this way

Such a lovely advice
Hongera kwa kujitambua mamy
 
Habari wanajamii

Naombeni mchango wa mawazo, imetokea wanaume wananiambia ati wananiogopa, mie ni mbabe, najiamini sana na wengine huenda mbali kwa kusema mwanamke wa dizain yako sioi.

Kwakweli sipo hivyo na huwa naumia sana mtu anaponitamkia hayo. Nasikitika mana sielewi ni kitu gani na kutongozwa na waume za watu kumezidi il a sio na singles?

Tafadhalini wanajamii naimani kuna watu wanaofahamu vizuri psychology wanishauri jamani.

Asanteni kwa kunijibu bila kejeli

unafanya shughuli gani? huwa unafanya mazoezi? umewahi kupitia paramilitary training yeyote? ujue kuna itu vunatu-shape bila ya sisi wenyewe kujua! florence
 
Last edited by a moderator:
hapo sasa.. yani mimi nikiona panya au mende kama kuna mwanaume naruka hata juu ya kabati napanda afu akisha muua najifanya nimefikaje huku njoo nishushe looh... mwanamke raha ujue kudeka loh

Asante sana, unajua kuutumia uanamke wako vizuri, namuonea wivu shemeji yangu. Mwanamke mitego bwana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom