jitingishe ukitembea sio unatembea kama askari
kusoma sayansi kunatatizo gani tena charty?
Kuna dada mmoja alisoma malasia . Ana sifa kama hizo za ujuaji na ubabe tu. Yeye sio mchaga . Na hadi leo hajaolewa . Na kazi nzuri tu
Hahaha...et magazeti...hata wewe unaonekana hupendi kuambiwa ukweli
Habari wanajamii
Naombeni mchango wa mawazo, imetokea wanaume wananiambia ati wananiogopa, mie ni mbabe, najiamini sana na wengine huenda mbali kwa kusema mwanamke wa dizain yako sioi.
Kwakweli sipo hivyo na huwa naumia sana mtu anaponitamkia hayo. Nasikitika mana sielewi ni kitu gani na kutongozwa na waume za watu kumezidi il a sio na singles?
Tafadhalini wanajamii naimani kuna watu wanaofahamu vizuri psychology wanishauri jamani.
Asanteni kwa kunijibu bila kejeli