Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,518
- 9,792
toka huko ndo maana ukilala ufungi macho
Nifunge macho unichomoe waleti yangu! Hau uwa haulali kumbe huwa unatega uone kama nimelala uchomoke!
toka huko ndo maana ukilala ufungi macho
Badiebey what you need is to balance na ndo mtihani mkubwa unapokuja hapo. Wengi wanashindwa kujua kofia ya ofisini anaivulia getini so akofika home awe Mama. Kumbuka historia. Adam aliishi pekee ktk bustani akawa mpweke ndipo akaona si busara kuwa pekee yake. Akamfanyia mtu wa kufanana naye ili awe msaidizi na sio mshindani mwenza.
Tukiweza kurudi hapo mbona mambo yatakuwa ni poa tu.
Kumsaidia mtu ni kum guide pale unapoona anapotoka. Lakini si lazima afuate kila kitu unachotaka. Sometimes tunajifunza mengi kupitia failures...
smtym sio kuogopa kuyatumia mkuu...we live in a world where if u turn too soft u may be taken advantage of au kushindwa kufikia malengo yako...ndo mana some girls tend to adapt masculinity,...
It's quite tricky being totally a feminine woman and fully professional esp kwenye mazingira ambayo ni male dominated
nafanya kazi, nimesoma sayansi na nasukanywele
Mdada,wanaume wengu huwa hawapendi.mwanamke ambae yupo serious,confident, ila wakimwona mwanamke anajichekeshachekesha wanamponda eti yule dem cheap sana,sasa just be as you are,ukiwa mkarimu sana watakuita cheapukiwa serious watakuita kauzu,jikubali ulivyo,you will get your soulmate
jamani ninamwili kidogo ntavunja kabati lol
Mwili is nothing mama the way u take o respect yo self t all makes u happy
kuna watu wanapenda wanawake wenye miili(mm mmojawapo) kuna engine viportable ndo huwaambii kitu but at the end of the day is how u perceive life and ts ways
Je umewah kujiuliza hao waume za watu kwann wanakutaka
Je wamekuona looser
Au lonely?
O weak?
Nadhani ukijua jibu lake unaweza kujua unaweza kuanzia wp ila mm nacho we a kukushauri ts gud to be who u r so just be that woman u always dreamt of n everything will be okay I promise
kama kweli we mbabe si ungemchukua mmoja awe wako kinguvu? wanakusingizia mwaya wala hauko hivyo sema wanajistukia kwakua unajua nini unafanya katika hii dunia.
Promise is more that just a big word sopromice?? ooh! thanks so very much
nafanya kazi, nimesoma sayansi na nasukanywele
Habari wanajamii
Naombeni mchango wa mawazo, imetokea wanaume wananiambia ati wananiogopa, mie ni mbabe, najiamini sana na wengine huenda mbali kwa kusema mwanamke wa dizain yako sioi.
Kwakweli sipo hivyo na huwa naumia sana mtu anaponitamkia hayo. Nasikitika mana sielewi ni kitu gani na kutongozwa na waume za watu kumezidi il a sio na singles?
Tafadhalini wanajamii naimani kuna watu wanaofahamu vizuri psychology wanishauri jamani.
Asanteni kwa kunijibu bila kejeli
Let someone love you for who you are... time yako ya kupata mwenza haijafika bado. Ongeza sala
Mimi si mtalaam wa pscychologia, hata hivyo naamini huenda nikawa na kamchango japo naweza nikawa si sahihi.
Ninavyoona mimi binadamu wote wana sura mbilli. Sura ya kwanza mimi naiita umbile la nje au sura ya nje. Hili ni umbile ambalo jamii inavyokutazama (wanaume) kwa kutumia vigezo Fulani Fulani huamua wewe ni mtu wa aina gani. Sura hii hutengenezwa na muonekano wako wa nje, pamoja na vitu kama sauti yako, unavyotembea, kazi yako, ongea yako, historia yako, mavazi yako na vitu kadha wa kadha. Vitu hivi vinaweza vikamfanya mtu akaonekana ni mbaya wa tabia hata kama hana ubaya huo au kinyume chake. Ni mbabe hata kama si hivyo na kinyume chake. Kwa mfano wapo watu ambao si Malaya lakini jamii inawaona ni Malaya, wapo ambao ni Malaya lakini jamii haikubali hivyo na huolewa na hata wakiachika huolewa tena na mtu mwingine. Ni muonekano wa mtu mwenyewe anavyoonekana kwa nje na jamii ndio hufanya wanaume wapende kumuoa au la. Pia ni muonekano wan je ndio huwafanya wanawake kuwakataa wanaume wakidhani si watu wazuri kumbe si hivyo au kuwakubali wakidhani ni watu wazuri kumbe pia si hivyo na kinyume chake pia. Bahati mbaya zile sifa ambazo zinafanya jamii inayokuzunguka idhani wewe ni mtu wa aina fulani, sifa zingine unaweza zibadili ili uvae uhusika unaokubalika zaidi na jamii (wanaume) eg mavazi, kazi, nk. Lakini vingine huwezi vibadi kwa mfano ongea yako, unavyotembea, sura yako, kimo chako nk.
Sura ya pili ni ile mimi naliita umbile la ndani. Hili ni umbile lako wewe mwenyewe unayojiona. Huenda unajiona ni mtu mwema (na huenda ni kweli ni mtu mwema kabisa, sio mbabe), hujawahi fanya jambo lolote ambalo halipendezi. Unajiona una vigezo vyote vya kuolewa na unatamani kuolewa lakini unashangaa wanawake wengine, tena wengine wenye skendo za ajabu wanaolewa wewe unapitwa. Au hata wale waliokuwa wanakutongoza unashangaa likija suala la kuoa wanakupita na kwenda oa mwingine! Cha ajabu ni kuwa watu wanaokujua wakiulizwa juu ya tabia yako wote watasema ni nzuri, lakini huolewi.
Msisitizo; ni muonekano wako (sijasema una sura mbaya) ndio hufanya jamii idhani unafaa kwa jambo Fulani au hufai.
Sasa ni kwa nini wanaume wa watu ndio wanaokutongoza na kwa nini huolewi? Na nini kifanyika ili uolewe?........... nitaendelea baadae kidogo.......
Habari wanajamii
Naombeni mchango wa mawazo, imetokea wanaume wananiambia ati wananiogopa, mie ni mbabe, najiamini sana na wengine huenda mbali kwa kusema mwanamke wa dizain yako sioi.
Kwakweli sipo hivyo na huwa naumia sana mtu anaponitamkia hayo. Nasikitika mana sielewi ni kitu gani na kutongozwa na waume za watu kumezidi il a sio na singles?
Tafadhalini wanajamii naimani kuna watu wanaofahamu vizuri psychology wanishauri jamani.
Asanteni kwa kunijibu bila kejeli
kusoma sayansi kunatatizo gani tena charty?