Wanaume wananichukulia tofauti na nilivyo

Wanaume wananichukulia tofauti na nilivyo

Mweh kumbe tupo wengi...... Shist evelyne salt may be tumeathiriwa na nature! Ila wapo wanaoridhika na hiyo hali yetu.... Au sio

Pole bidada Khantwe na mtoa mada florence tupunguze punguze kidogo, make tukipretend ndo utaharibu zaidi

Hahahahaaa....mi huwa najaribu kujicontrol mwisho wa siku vinanishinda
 
Last edited by a moderator:
Pole sana dada,kwani we ni mmachame? Maana inawezekn haupo hivyo ila wanaume wengi huwa wana perception hiyo tayari in their minds kwa kabila hilo na kwa wakikuyu wa kenya.

ni mchaga(mchanganyiko wa Marangu na Rombo) ila sio mmachame
 
Habari wanajamii

Naombeni mchango wa mawazo, imetokea wanaume wananiambia ati wananiogopa, mie ni mbabe, najiamini sana na wengine huenda mbali kwa kusema mwanamke wa dizain yako sioi.

Kwakweli sipo hivyo na huwa naumia sana mtu anaponitamkia hayo. Nasikitika mana sielewi ni kitu gani na kutongozwa na waume za watu kumezidi il a sio na singles?

Tafadhalini wanajamii naimani kuna watu wanaofahamu vizuri psychology wanishauri jamani.

Asanteni kwa kunijibu bila kejeli

Fluorece, kuna msemo usemao "kila mtu ni mwema machono mwake" hawakukose hata kidogo na jambo jingine linalofanana na hilo ni kuwa Kioo hutumika kujitizama, nina imani home/ chumbani kwako kuna kioo na unakitumia vyema kujitazama.
Ninacho taka kukisema ni kwamba watu wanakuona jinsi ulivyo, matendo yako, ongea yako vaa yako na wanakuhukumu.
Chukua nafasi hii kujisahihisha, jichunguze utaona kuna shida sehemu fulani,jurekebishe.
Kwa upande wangu binasfi napenda wanawake wanao jiamini. Wanao weza kusimama pekeyao, wenye changamoto kwani ninaamini
Maendeleo yatakuja haraka.
 
Pole sana.

Nina rafiki yangu mmoja hivi mchaga msichana mwenye kazi yake shule nzuri tu na nahisi mnaendana kabisa na wewe.

Wanaume wanakaa nae mbali kabisa. Anyways dada ni mbabe kweli. Hatua zake tu za kutembea, pumzi yake, sauti na akifika sehemu lazma atambulike amefika.

Huyo rafiki ana shepu haswa. Mtoto wa kichaga ila ana mguu wa bia. Tatizo tu MBABE.

Tumemshauri kuhusu ubabe na kidogo amejifunza. Ameacha, amekuwa mpole na ananyenyekea. Kapata mchumba sasa na naona wameshibana haswa, nawaombea wafike mbali.

Jikaze, punguza au ficha tabia za ubabe. Pigana kuacha hiyo tabia utashinda.

Nitajitahidi mana MTU akitamka tu hilo neno ananihuzunisha sana
 
Tulia,kuwa mpole,nyenyekea,badilika na omba Mungu kwan sasa tumeshagundua kuwa hauko kama tunavyokuona.Hivyo nina imani kuanzia sasa utawaona wenye nia ya dhati ili msukume pamoja maisha ya raha yaliyobakia hapa duniani.
 
Thank u B! Always love u

kila kitu majanga....
ukiwa mpole sana janga ukiwa mkali janga, sasa sijui tuweje!

Ndiyo maana kule jikoni mnafundishwa kupima chumvi kabla ya kuwatengea watu chakula.....

Hata hivyo namshauri mhusika ajikubali na kuendelea na maisha yake. Ila madhaifu ambayo yanawakwaza sana wenzake (bila kujali jinsia) ayape kipaumbele na kuhangaika nayo!
 
Habari wanajamii

Naombeni mchango wa mawazo, imetokea wanaume wananiambia ati wananiogopa, mie ni mbabe, najiamini sana na wengine huenda mbali kwa kusema mwanamke wa dizain yako sioi.

Kwakweli sipo hivyo na huwa naumia sana mtu anaponitamkia hayo. Nasikitika mana sielewi ni kitu gani na kutongozwa na waume za watu kumezidi il a sio na singles?

Tafadhalini wanajamii naimani kuna watu wanaofahamu vizuri psychology wanishauri jamani.

Asanteni kwa kunijibu bila kejeli

Usikatae katakata kwamba hauko hivyo.

Jiangalie, jifanyie tathmini ya dhati.

Huenda huwa una-radiate vibe flani flani zinazofanya watu wahitimishe (kimakosa) hivyo wanavyohitimisha.

Katika maisha ni muhimu pia kujikosoa na kufanyia kazi mapungufu yako.
 
sana maana wanakimbia then wanaanza kurudi lambda ni kweli unachowaza lol

Ila kwenye haya makitu hakunaga mbabe...si unamjua simba? Na ubabe wake wooote ila yakimfika shingoni anapigwa ma love bites ya kutosha na anakuwa mpoleeeeee kama kondoo dadadeki...endelea kukomaa tu kigum! gum!
 
Pana kazi hapo, najitahidi kufanyia kazi mambo kadhaa, kidogo kidogo nasonga.

Usikatae katakata kwamba hauko hivyo.

Jiangalie, jifanyie tathmini ya dhati.

Huenda huwa una-radiate vibe flani flani zinazofanya watu wahitimishe (kimakosa) hivyo wanavyohitimisha.

Katika maisha ni muhimu pia kujikosoa na kufanyia kazi mapungufu yako
.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom