Mrigariga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 1,761
- 1,623
smtym sio kuogopa kuyatumia mkuu...we live in a world where if u turn too soft u may be taken advantage of au kushindwa kufikia malengo yako...ndo mana some girls tend to adapt masculinity,...
It's quite tricky being totally a feminine woman and fully professional esp kwenye mazingira ambayo ni male dominated
Badiebey what you need is to balance na ndo mtihani mkubwa unapokuja hapo. Wengi wanashindwa kujua kofia ya ofisini anaivulia getini so akofika home awe Mama. Kumbuka historia. Adam aliishi pekee ktk bustani akawa mpweke ndipo akaona si busara kuwa pekee yake. Akamfanyia mtu wa kufanana naye ili awe msaidizi na sio mshindani mwenza.
Tukiweza kurudi hapo mbona mambo yatakuwa ni poa tu.
Kumsaidia mtu ni kum guide pale unapoona anapotoka. Lakini si lazima afuate kila kitu unachotaka. Sometimes tunajifunza mengi kupitia failures...