Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Na nani?..mm mbona cjakwambia
Hahaaa...we hujaniambia bcoz am the right woman for you....inawezekana umenipendea hilo..
Na nani?..mm mbona cjakwambia
we umempata?
Hahaaa...we hujaniambia bcoz am the right woman for you....inawezekana umenipendea hilo..
Eeeh nimempata kauzu mwenzangu...
Sasa tumalize kazi kbs
Pengine ni hilo jina unalotumia,
Sijui kama ni jina lako halisi;
Mara nyingi watu wa jina hilo wana tabia
kama hizo wanazokuambia hao wanaume;
jaribu kujitune na jitengeneze florence mwingine
inawezekana, jaribu uone.
Eeh na ndio maana pia sio kila mwanaume anafaa kuwa mume, wengine wanafaa kuwa mabruda na mapadre.Ndio maaana sio kila mwanamke anafaa kuwa mke
pole sana,kwa kawaida wanaume huwa tunahitaji kuheshimiwa na kusikilizwa kama ilivyo kwa wanawake pia ,ila inapofika point mwanamke anakuwa juu ya mwanaume ndipo mgongano hutokea,cha kufanya punguza hasira ,ubishi na kujifanya unajua kila kitu ni kweli inawezekana unajua ila aproach unayotumia kuelezea ujuaji wako ni wa kibabe sio polite,angalia matumizi ya lugha na kauli nzuri zenye utulivu hayo yote yataisha,,psychologically wanawake wanapenda kuwa juu ya wanaume somethn whch has never been achieved,understand ur position n let love lead na sio ubabe,,,,,,.
Punguza sauti ukiongea
ukiambiwa kitu kinachokuhusu na watu zaidi ya watatu ambao hafahamiani uchukulie kuwa watu wanakuchukulia hivyo. la muhimu hapa badala ya kupinga maneno ya watu uyafanyie kazi.
Kuna vitu ambavyo tunavifanya bila wenyewe kujua, watu wanaotuambia wanatupenda na wanataka tubadilike (kama ni kitu ambacho hakina maslahi).
Fanyia kazi hayo wanayokuambia badala ya kubishia.
Nakutakia kila la heri katika mabadiliko
^^
Ni kawaida ya kundi la aina yenu, nje mnajiamini, nje mna nguvu, nje mnajiweza, nje mnazidi sifa za baadhi ya wanaume! Ndani mnaumia, mna upendo, mnahitaji kufarijiwa, mnapenda kujitoa kwa dhati na kwa hiari, Lakini wanaume wanaojua siri yenu hii hamkutani nao sana!
Sasa, vaa tabasamu, ondoa mikunjo ya uso, tembea na ufunguo wa kuyaona mambo ni mepesi ! Azima sauti ya kawaida! Be simple!
Wanaume wengi hawavutiwi na mwanamke aliyekama mwanaume! Make a femine revolution inside yourself. Your a beautiful woman trust me.
( oo! Sorry kumbe hii ni thread ya wanasaikolojia, yachukulie hayo maneno ya mlevi tu )
^^