miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
be ladish; kuwa confidence ni muhimu sana ... try to be charming.. smile a bit.... jichanganye na hiyo jinsia piga story toka out but make sure you talk funny.... sometimes be serious little usiwe wa kukasirika haraka hata kama watakupiga bango la ukweli... hapo ndo unaweza anza badilisha mtazamo wa hao watu... sometimes pale mwanaume anapotakiwa kutake responsibility usilazimishe ufanye wewe... jifunze kudeka mama mzuri mbona utaolewa tu......... alafu usisahau wanume wanapenda kusikilizwa na hata kama unamchallenge tumia hekima sana si uanzishe ligi hapana ..... msikilize huku ukitabasamu mbona wanalo