Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Wewe unafanana sana na mimi,"BE YOURSELF",usijibadili kwaajili ya mtu madhali tabia zako hazimdhuru yoyote au kusababisha maangamizi.Ukibadilika ili upate mtu maanake unajikana wewe mwenyewe!Your better half is out there somewhere atawasili wakati wake ukifika ila kwasasa concentrate kwenye mambo yenye umuhimu kwenye maisha yakoHabari wanajamii
Naombeni mchango wa mawazo, imetokea wanaume wananiambia ati wananiogopa, mie ni mbabe, najiamini sana na wengine huenda mbali kwa kusema mwanamke wa dizain yako sioi.
Kwakweli sipo hivyo na huwa naumia sana mtu anaponitamkia hayo. Nasikitika mana sielewi ni kitu gani na kutongozwa na waume za watu kumezidi il a sio na singles?
Tafadhalini wanajamii naimani kuna watu wanaofahamu vizuri psychology wanishauri jamani.
Asanteni kwa kunijibu bila kejeli