Landson Tz
JF-Expert Member
- May 8, 2011
- 295
- 221
Tangu nchi yetu kupata uhuru tumekuwa chini ya utawala wa wanaume kama wakuu wa nchi, sasa mwanamke amechukuwa kwa mala ya kwanza. Kwakuwa tumekuwa na matumaini ya kuishi maisha bora bila mafanikio chini ya wanaume basi tumuunge mkono mwanamke tunaweza kuvuka vikwazo vilivyo dumaza maisha yetu kwa muda mrefu.
Kuwa na Rais mwanake kwa nchi yetu ni kama mapinduzi (maana haikutarajiwa) hivyo tuwe na matumain kuwa atafanya mapinduzi ya kweli kiuchumi na kijamii.
Kumuunga mkono ni pamoja na kila mmoja wetu kutimiza wajibu wake kwake na kwa taifa kwa ujumla. Na serikali ituwezeshe pale tunapohitaji uwezeshwaji.
Landson Tz
Yaa na mimi nimeoana kuna ka uanaharakati wa kijinsia hapa, wanaume kaeni mkao wa kuanza kuingia jikoni na kufua, bila kusahau kupiga deki na kuogesha watoto, mambo yamekuwa vice-versa.......sasa watoto tutaanza kumpokea mama akirudi kazini, mama huyo huyo!Yani jinsia ndiyo imekua kigezo cha kuwa kiongozi kwenye hili taifa???
huyu ni kiongozi wa nchi au ni mwanaharakati wa jinsia???
aendelee kuwajaza ujinga tu ila awe makini atasababisha violence.Yaa na mimi nimeoana kuna ka uanaharakati wa kijinsia hapa, wanaume kaeni mkao wa kuanza kuingia jikoni na kufua, bila kusahau kupiga deki na kuogesha watoto, mambo yamekuwa vice-versa.......sasa watoto tutaanza kumpokea mama akirudi kazini, mama huyo huyo!
Jinsia haijawahi ongoza nchi kinachoongoza nchi utashi na uwezo wa kiongozi
Naona hapa umetumia akili kidogo 0000.0001
Jinsia haijawahi ongoza nchi kinachoongoza nchi utashi na uwezo wa kiongozi
You are doomed, nobody will volunteer to support you to achieve your personal advancement irrelevant to be cherished in the communityTangu nchi yetu kupata uhuru tumekuwa chini ya utawala wa wanaume kama wakuu wa nchi, sasa mwanamke amechukuwa kwa mala ya kwanza.
Kwakuwa tumekuwa na matumaini ya kuishi maisha bora bila mafanikio chini ya wanaume basi tumuunge mkono mwanamke tunaweza kuvuka vikwazo vilivyo dumaza maisha yetu kwa muda mrefu.
Kuwa na Rais mwanake kwa nchi yetu ni kama mapinduzi (maana haikutarajiwa) hivyo tuwe na matumain kuwa atafanya mapinduzi ya kweli kiuchumi na kijamii.
Kumuunga mkono ni pamoja na kila mmoja wetu kutimiza wajibu wake kwake na kwa taifa kwa ujumla. Na serikali ituwezeshe pale tunapohitaji uwezeshwaji.
Landson Tz
Naona hapa umetumia akili kidogo 0000.0001
Bila Katiba mpya ni sawa na kubadilisha mafuvu tu.
Mungu hawezi kubariki jamii ya wezi wa kura wauwaji watesi na wabambikaji wa kesi huyo Mungu wa hivyo hayupo.Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan