Wanaume waepukeni wadada wa barber shop

Wanaume waepukeni wadada wa barber shop

Kazi za Tip zile, jla wabongo mpaka akulegeze kwa mishiko fulani ndo inaanza jiongeza namba nk. Mpe tip yake kwa sepa.
 
wengine hadi wananyonya sehemu ya kutolea haja kubwa ili kukuridhisha uwe unampa hela
Yani mwanaume unakubali kunyonywa sehemu ya haja kubwa kisa upate raha dah!na upunga unaanza hvyo hvyo asee,kama ndo mchezo wako acha mara moja tutakukosa
 
C
I greet you all my elders,

Hizi sehemu ni maarufu kwa wanaume wenye vipato vya kati na matajiri huenda
kufanya scrub, kunyoa, steamer, kuweka black, mask/facial etc ili kupendeza na
kwenda na wakati,ni jambo jema.

Kule ndani kwenye hizi saloon kuna vyumba maalum vya kuosha nywele baada ya kunyoa na hizo huduma nilizozitaja hapo awali.zote zinatolewa na hawa wadada ambao nawapongeza kwa kazi yao nzuri iliyotukuka.

Kuna baadhi ya wadada katika kutoa huduma hizi wanatumia madhaifu ya wanaume kutomasa wanaume maeneo wanayoyajua kuwa yanaweza kusababisha mwitikio chanya wa malengo yao (invitation to treat) Upande mwingine kuna wanaume wanaingia humu kwenye vyumba hivyo na tabasamu na vicheko bashasha wakiwa na nia ovu ya kukonga
roho na vimwana wa hizo saloon, wana hakikisha wakitoka hapo anachukua namba ya mdada na kupanga kuvunja amri ya sita.

Wakaka wa saloon wanajua hilo na wanawatumia hao wadada kama chambo ya kuwakamata na kulinda wateja.Wanawaambia wanaume chagua unayetaka akuhudumie! lakini tatizo lililopo wanaume hawajui kuwa kila mwanaume anayeenda pale anapewa
huduma kama yake!

Ushauri sio sheria jiheshimu na kuwa serious ukienda sehemu hizo pia wadada wa saloon, acheni tabia ya kugawa namba za simu na kuwatega wanaume heshimu kazi zenu hiyo ni ajira kama zingine, msishushe thamani ya kazi na utu wenu.

Nakaribisha wenye uzoefu na hii sector.tuwarudishe kwenye mstari baadhi ya ndugu zetu waliopinda.

Week end is over kesho ni . . kula kwa jasho.
C unawapigia promo kimtindo maana waume wenye ndoa mgogoro ndiyo huponea huko?
 
Kazi za Tip zile, jla wabongo mpaka akulegeze kwa mishiko fulani ndo inaanza jiongeza namba nk. Mpe tip yake kwa sepa.
Tip ndio harakati ya kuandaa game
 
mimi sitaki kutia neno maana huwa wananiondolea stress ninapokuwa nimekwazwa. Kuna mmoja natamani kumuweka ndani lakini kila nikifikiria nilivyompata Huwa moyo unakataa.. Nasema siwaachi ng'ooo natakula tu
 
C

C unawapigia promo kimtindo maana waume wenye ndoa mgogoro ndiyo huponea huko?
Hapana mkuu! wale wadada huwezi ukammiliki awe wako peke yako! utapata matatizo ukijiaminisha nao.sishauri mwanaume ambaye hajawahi ajizoeshe nao.
 
Mi naenda kwa kinyozi kunyoa tu....kuosha na takataka nyingine nafanya nyumbani tu....mambo ya kutekenyana masikio sitaki kabisa!
Hahahaah Mimi hizi saluni za hivi nilishaachana nazo, nikikuta saluni ina wadada tu basi naenda kwa vinyozi wa nchini ya miti.
 
Nikishaona tu baba shopu napita spidi mia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lol kumbe hata mzee wa mashetani, wachawi, ndoto mbaya na tafasiri zake, mtaalamu wa nyota huwa unapitaga kupigwa mapouuuuuuuuda na ndimi za masikio a.k.a massage [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
ngoja niende pale sinza mori kwa nyanda saloon nikajionee
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lol kumbe hata mzee wa mashetani, wachawi, ndoto mbaya na tafasiri zake, mtaalamu wa nyota huwa unapitaga kupigwa mapouuuuuuuuda na ndimi za masikio a.k.a massage [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hahahaah Mimi hizi saluni za hivi nilishaachana nazo, nikikuta saluni ina wadada tu basi naenda kwa vinyozi wa nchini ya miti.
unawafanya wakununie na kukuona mbugila!
 
Nimekuelewa, asante. Lakini ndg yangu huku sio kuhangaika na nyapu, ni either protein kuzidi au kutoa stress huku ukiutumia muda wako vizuri. Kuanza piga domo na appointments utafikiri unaomba msamaha wa kodi ya nn !
yaan ni kweli kabisa, mara mkutane mlman city, mara mkachek muvi, mara umpgie cmu ucku huku una usingz, mara ukamnunulie i phone, mara nataka sare ya kwenda kwenye kitchn party ya rafk yake,,asa tabu zote hzo za nini,,wakati mtu ukienda tu hapo salun na elfu 20 yako unapata huduma zote
 
Back
Top Bottom