Wanaume waepukeni wadada wa barber shop

Wanaume waepukeni wadada wa barber shop

Sana mkuu ukiona wanavyoyachezea masikio na shingo kuelekea mgongoni!.mwanaume unabaki unamwayamwaya na kubadili mikao huku suruari ikibana ghafla.
Siku moja nilikuwa kigali Rwanda. Mzee, ni hatari. wale wanaingiza mikono mpaka mbsli kabisa ndani ya shati,..................... acha kabisa.
 
I greet you all my elders,

Hizi sehemu ni maarufu kwa wanaume wenye vipato vya kati na matajiri huenda
kufanya scrub, kunyoa, steamer, kuweka black, mask/facial etc ili kupendeza na
kwenda na wakati,ni jambo jema.

Kule ndani kwenye hizi saloon kuna vyumba maalum vya kuosha nywele baada ya kunyoa na hizo huduma nilizozitaja hapo awali.zote zinatolewa na hawa wadada ambao nawapongeza kwa kazi yao nzuri iliyotukuka.

Kuna baadhi ya wadada katika kutoa huduma hizi wanatumia madhaifu ya wanaume kutomasa wanaume maeneo wanayoyajua kuwa yanaweza kusababisha mwitikio chanya wa malengo yao (invitation to treat) Upande mwingine kuna wanaume wanaingia humu kwenye vyumba hivyo na tabasamu na vicheko bashasha wakiwa na nia ovu ya kukonga
roho na vimwana wa hizo saloon, wana hakikisha wakitoka hapo anachukua namba ya mdada na kupanga kuvunja amri ya sita.

Wakaka wa saloon wanajua hilo na wanawatumia hao wadada kama chambo ya kuwakamata na kulinda wateja.Wanawaambia wanaume chagua unayetaka akuhudumie! lakini tatizo lililopo wanaume hawajui kuwa kila mwanaume anayeenda pale anapewa
huduma kama yake!

Ushauri sio sheria jiheshimu na kuwa serious ukienda sehemu hizo pia wadada wa saloon, acheni tabia ya kugawa namba za simu na kuwatega wanaume heshimu kazi zenu hiyo ni ajira kama zingine, msishushe thamani ya kazi na utu wenu.

Nakaribisha wenye uzoefu na hii sector.tuwarudishe kwenye mstari baadhi ya ndugu zetu waliopinda.

Week end is over kesho ni . . kula kwa jasho.
Mtuonee huruma tunavyoteswa tukiwa kweney hizo saluni. Ndo maana wanawake wengine huamua kuwasindikiza waume zao.
 
Acheni kuwa dhaifu wanume....mbona mimi naenda....napokea huduma zao...lakini I have my personal limits
 
Siku moja nilikuwa kigali Rwanda. Mzee, ni hatari. wale wanaingiza mikono mpaka mbsli kabisa ndani ya shati,..................... acha kabisa.
Huu uzungu kwetu bado sana! ukafanyiwa vile lazima ufike bei,mkamalizane.
 
Mtuonee huruma tunavyoteswa tukiwa kweney hizo saluni. Ndo maana wanawake wengine huamua kuwasindikiza waume zao.
wanaume wachache mno wanaohimili na kuruka viunzi vya wale wadada.
 
Acheni kuwa dhaifu wanume....mbona mimi naenda....napokea huduma zao...lakini I have my personal limits
mko wachache sana wenye mioyo kama yako.wale wadada wapo kikazi na ku take advantage ya uzaifu wa wanaume.hawawezi kuwafanyia zile huduma wanawake wenzao kwa namna wanavyowafanyia wanaume.
 
mko wachache sana wenye mioyo kama yako.wale wadada wapo kikazi na ku take advantage ya uzaifu wa wanaume.hawawezi kuwafanyia zile huduma wanawake wenzao kwa namna wanavyowafanyia wanaume.
Ngoja Ney wa Ommy Dipoz amsikie
 
Back
Top Bottom