I greet you all my elders,
Hizi sehemu ni maarufu kwa wanaume wenye vipato vya kati na matajiri huenda
kufanya scrub, kunyoa, steamer, kuweka black, mask/facial etc ili kupendeza na
kwenda na wakati,ni jambo jema.
Kule ndani kwenye hizi saloon kuna vyumba maalum vya kuosha nywele baada ya kunyoa na hizo huduma nilizozitaja hapo awali.zote zinatolewa na hawa wadada ambao nawapongeza kwa kazi yao nzuri iliyotukuka.
Kuna baadhi ya wadada katika kutoa huduma hizi wanatumia madhaifu ya wanaume kutomasa wanaume maeneo wanayoyajua kuwa yanaweza kusababisha mwitikio chanya wa malengo yao (invitation to treat) Upande mwingine kuna wanaume wanaingia humu kwenye vyumba hivyo na tabasamu na vicheko bashasha wakiwa na nia ovu ya kukonga
roho na vimwana wa hizo saloon, wana hakikisha wakitoka hapo anachukua namba ya mdada na kupanga kuvunja amri ya sita.
Wakaka wa saloon wanajua hilo na wanawatumia hao wadada kama chambo ya kuwakamata na kulinda wateja.Wanawaambia wanaume chagua unayetaka akuhudumie! lakini tatizo lililopo wanaume hawajui kuwa kila mwanaume anayeenda pale anapewa
huduma kama yake!
Ushauri sio sheria jiheshimu na kuwa serious ukienda sehemu hizo pia wadada wa saloon, acheni tabia ya kugawa namba za simu na kuwatega wanaume heshimu kazi zenu hiyo ni ajira kama zingine, msishushe thamani ya kazi na utu wenu.
Nakaribisha wenye uzoefu na hii sector.tuwarudishe kwenye mstari baadhi ya ndugu zetu waliopinda.
Week end is over kesho ni . . kula kwa jasho.
Ndio dawa yao hiyo hakuna jinsi tenawamezoea dk tano! sasa sisi wazee wa one hour lazima ateme bandama
Hata mimi mkuu! pale JR mikocheni wananijua,naamini wananiona kauzu
mnoo.mimi nanyoa sioshi wala sitoi kicheko wala tabasamu naongea na vinyozi tu.hata magic nataka mwanaume anyoe,kufutwa inaletwa.taulo hapohapo siendi chobisi.
ushauri wangu sio ibada kuwa kila mtu aukubali,pia.kama wachangiaji hamsini.wanakubaliana na nilichokiandika akitokea ndezi kama wewe akipinga sishangaiHuo ushauri wako hapo kwenye red naweza kuuita ni wa kishamba. Fuata kilichokupeleka, yaliyobaki waachie wateja na watoa huduma wao. Maana kila anayekwenda hapo ni mtu mzima na akili zake timamu.
Soma na elewa nilichokiandika kuhusu JR! usinigombanishe na wanangu akina SIDE,BABU,SAM na J4. nilichokiandika sina shaka nacho kuhusu hizo saloon.nimeanza kwenda wakati saloon za kisasa za kwanza kama BM,CK wakianza,wewe ukiwa shamba kwenu.Hata mimi nanyoa hapo hapo JR kwa miaka mingi sasa. Naoshwa baada ya kunyolewa, pia nikitaka scrub wadada wananifanyia. Na sijawahi kushawishika kingono na hao wadada. Kwa hiyo ni akili yako tu. Ila kama unadhani wewe ni dhaifu sana, huwezi kuvumilia kushikwa shikwa na mwanamke, basi baki na msimamo wako huo huo.
ushauri wangu sio ibada kuwa kila mtu aukubali,pia.kama wachangiaji hamsini.wanakubaliana na nilichokiandika akitokea ndezi kama wewe akipinga sishangai
hahahahaaa,mmoja nilichapa mpaka akaangua kilio anasema anakufa!
Soma na elewa nilichokiandika kuhusu JR! usinigombanishe na wanangu akina SIDE,BABU,SAM na J4. nilichokiandika sina shaka nacho kuhusu hizo saloon.nimeanza kwenda wakati saloon za kisasa za kwanza kama BM,CK wakianza,wewe ukiwa shamba kwenu.
ha ha ha h ha ha caught with the pants down...........!Kumbe huwa unawatafuna eeeeh? Halafu unashuari wenzio wawaepuke. Unataka ufaidi peke yako? Acha ubinafsi dogo!
ha ha ha h ha ha caught with the pants down...........!
We upo kwenye nafasi nzuri sana ya kutapeliwa..Utanipa ripotiJana nimemsubiri rubii aje twende hakutokea, nikajaribu kumtumia hata peas ya usafiri labda amekwama peasa nayo ikagoma kwenda.
Ila nadhani ilikuwa shida ya mtandao, hawezi kunifanyia vile kabisa.
We upo kwenye nafasi nzuri sana ya kutapeliwa..Utanipa ripoti
So we unaingia zile zilizoandikwa "hair cutting salon" ambazo ndani kuna ka sabuwufa ka sea piano?..akuna watoto wazuri[emoji23]Nikishaona tu baba shopu napita spidi mia
kabisa kabisa.....ule msemo kinyozi hajinyoi si kweli. try it inawezekanaKumbe inawezekana?
Hahhahahaaaa akija konda teja au mhuni yoyote anachukua kitana au chanuo anachana nywele zake huyo anaondoka na kinyozi wako bila kikusafisha anakuchania nacho hakuna huduma nyingine zaidi ya superblackSo we unaingia zile zilizoandikwa "hair cutting salon" ambazo ndani kuna ka sabuwufa ka sea piano?..akuna watoto wazuri[emoji23]
.....asante!ushauri wangu sio ibada kuwa kila mtu aukubali,pia.kama wachangiaji hamsini.wanakubaliana na nilichokiandika akitokea ndezi kama wewe akipinga sishangai