Wanaume waepukeni wadada wa barber shop

Wanaume waepukeni wadada wa barber shop

lakin kiukweli wanasaidia sana maana mtu unamla fresh na wala haitaji kujuana sana na wewe, asa hawa mademu wengine utakua unafanya kazi ya kuonga na kupoteza mda wako wakati wanakula watu wengine,,ni heri uchukue dada wa salun ambaye unampa elfu 20 na unajilia unavyotaka
 
Kuna mmoja aliniambia boyfrend wake hajui kama yeye ni mtalam wa masaj. Dem ni mkali kinoma aliponihudumia akaniambia anatoa namba ukihitaji anakufata popote au unaenda kumchukua anakukanda fresh. Nikamuonea huruma sana jamaa huko.aliko

Mwingine kwenye saluni nyingine aliniambia hapendi ukicheche ila boyfrendi wake hajampa shughuli yoyote ya kufanya kwaiyo yeye anagongesha kwa hela. Huyo dem anaishi na jamaa yake!!

Hatari..
 
Mimi juzi pale mwenge baada ya kunyolewa ndevu akaja fasta, mara uncle vp scrub utafanya nikamwambia ndio, na massage nikamwambia vote ntafanya, akanambia njoo huku.

Nikaenda kule chobingo ile nafika nikamwambia naomba nikulipe kabsa, akanambia poa, nikatoa wallet nikatoa jero (500) akang'aka aaah!! uncle hii ya nini? Nikamwambia hiyo huduma mpya unayotaka kuifanya.

Akanirudishia akaondoka kimya kimya.
Ndo huwa natumia gear hiyo na saloon kibao wakiniona naenda mademu wao wanasepa kwanza!!.
Duh wee kiboko mkuu! jero?! utashangaa ya msa kabla hujayaona ya filauni.
 
Kuna mmoja aliniambia boyfrend wake hajui kama yeye ni mtalam wa masaj. Dem ni mkali kinoma aliponihudumia akaniambia anatoa namba ukihitaji anakufata popote au unaenda kumchukua anakukanda fresh. Nikamuonea huruma sana jamaa huko.aliko

Mwingine kwenye saluni nyingine aliniambia hapendi ukicheche ila boyfrendi wake hajampa shughuli yoyote ya kufanya kwaiyo yeye anagongesha kwa hela. Huyo dem anaishi na jamaa yake!!

Hatari..
man km una number ntupie aisee
 
Ngoja mie niendelee kufanyia na wife nikiwa nimepumzika zangu home, poleni sana kwa mnaotegwa mnategeka kiurahisi na kubaki mkichunwa.
 
wapo kimkakati kikolo Lusajo,ndo maana mda wote wapo smart na simu mkononi!.huduma karibu na wateja.wanaanza kukutathmini unavyopaki gari na kuingia saloon!
 
lakin kiukweli wanasaidia sana maana mtu unamla fresh na wala haitaji kujuana sana na wewe, asa hawa mademu wengine utakua unafanya kazi ya kuonga na kupoteza mda wako wakati wanakula watu wengine,,ni heri uchukue dada wa salun ambaye unampa elfu 20 na unajilia unavyotaka
kwa mwanaume anayetaka kununua penzi,wadada wale wanatoa huduma.hela yako.mpaka massaji utafanyiwa.
 
Hivi kwa nini hicho chumba kimefichwa.?Tujiulize.......Mbona Salon Za kina mama hawawezi chumba cha siri? Bora kunyoq na kwenda kufanya mambo mengine nyumbani
 
yaap..ndo maana wanahitajika sana , sio kama mademu ambao unamnunulia i phone halafu wanakula wengine
 
Kuna mmoja aliniambia boyfrend wake hajui kama yeye ni mtalam wa masaj. Dem ni mkali kinoma aliponihudumia akaniambia anatoa namba ukihitaji anakufata popote au unaenda kumchukua anakukanda fresh. Nikamuonea huruma sana jamaa huko.aliko

Mwingine kwenye saluni nyingine aliniambia hapendi ukicheche ila boyfrendi wake hajampa shughuli yoyote ya kufanya kwaiyo yeye anagongesha kwa hela. Huyo dem anaishi na jamaa yake!!

Hatari..
Hiyo saloon ipo wapi? Lusajo
 
Ngoja mie niendelee kufanyia na wife nikiwa nimepumzika zangu home, poleni sana kwa mnaotegwa mnategeka kiurahisi na kubaki mkichunwa.
acha nasisi tuendelee kusubiria dodo chini ya mwarobaini mkuu.
 
Hivi kwa nini hicho chumba kimefichwa.?Tujiulize.......Mbona Salon Za kina mama hawawezi chumba cha siri? Bora kunyoq na kwenda kufanya mambo mengine nyumbani
kile ni special kwa privacy ya kutoa namba/busu/mihela ya tipu na usafi
 
kwanza hzi saluni za namna hii na massage center zilizo nyingi ni majipu
 
Kuna siku nilikwenda saloon moja na mdogo wangu kulikuwa na wadada watatu ila mmoja wao alikuwa kapangika kisawasawa(namba 8) nilimtania kama nitoke nae akajifanya Kim Kadashian. lakini kumuona tembo mwekundu mfukoni kajaa akaanza kutaka nimpe namba yangu. Nilimwambia nilikuwa nakutania tu. Mdogo wangu si akamtania shemeji yake kama tulifanyiwa face scrub na shoulder massage. Tokea siku hio nikienda saloon basi na yeye lazima aende na sisi.
 
Saloon wanaume wanashikwashikwa, wanawake nao wakiwa Saloon wao ndiyo balaa hushikwa shikwa mpaka viungo nyeti.

Hizi Saloons ni majipu.
 
Back
Top Bottom