Wanaume waepukeni wadada wa barber shop

Wanaume waepukeni wadada wa barber shop

Aliyewahi pata huduma ya voda fasta ajitokeze...ili tutoe maneno mengi
 
Hao unawapelekea moto mpaka wasahau vile vikamba vyao wanavyoita chupi kisha huko kwao lazima akaiwashie feni au ajikande na mabarafu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] hiyo unawapekekea moto mpaka ajikande na barafu na feni
Juu kupepea aisee
 
Nilishawahi guswa na chuchu kisikioni kwenye hizo harakati za kuoshwa kidogo niadhirike.
Ilikua mara ya kwanza na mwisho kupewa hizo huduma.
 
Tokea November 2011 mitaa flan Arusha baada ya kutegwa na kutegeka kwa mrembo wa barber shop mwenye mikono milaini kama ilivyo sauti yake basi niliamua kuwa:

Kwa kinyozi naenda kunyoa tu! Kujiosha na vinginevyo ni home.
 
Nilishawahi guswa na chuchu kisikioni kwenye hizo harakati za kuoshwa kidogo niadhirike.
Ilikua mara ya kwanza na mwisho kupewa hizo huduma.
ulikosa uhondo mkuu!.ungepewa namba.ungefanyiwa mpaka masaji.
 
Tokea November 2011 mitaa flan Arusha baada ya kutegwa na kutegeka kwa mrembo wa barber shop mwenye mikono milaini kama ilivyo sauti yake basi niliamua kuwa:

Kwa kinyozi naenda kunyoa tu! Kujiosha na vinginevyo ni home.
ulianguka.dhambini mkuu,maisha ni.kama chuo.
 
Nilishawahi guswa na chuchu kisikioni kwenye hizo harakati za kuoshwa kidogo niadhirike.
Ilikua mara ya kwanza na mwisho kupewa hizo huduma.
ha ha ha ha ha mabinti watundu sana hao....ndio maana mimi kwa kinyozi ni kunyoa tu!
 
I greet you all my elders,

Hizi sehemu ni maarufu kwa wanaume wenye vipato vya kati na matajiri huenda
kufanya scrub, kunyoa, steamer, kuweka black, mask/facial etc ili kupendeza na
kwenda na wakati,ni jambo jema.

Kule ndani kwenye hizi saloon kuna vyumba maalum vya kuosha nywele baada ya kunyoa na hizo huduma nilizozitaja hapo awali.zote zinatolewa na hawa wadada ambao nawapongeza kwa kazi yao nzuri iliyotukuka.

Kuna baadhi ya wadada katika kutoa huduma hizi wanatumia madhaifu ya wanaume kutomasa wanaume maeneo wanayoyajua kuwa yanaweza kusababisha mwitikio chanya wa malengo yao (invitation to treat) Upande mwingine kuna wanaume wanaingia humu kwenye vyumba hivyo na tabasamu na vicheko bashasha wakiwa na nia ovu ya kukonga
roho na vimwana wa hizo saloon, wana hakikisha wakitoka hapo anachukua namba ya mdada na kupanga kuvunja amri ya sita.

Wakaka wa saloon wanajua hilo na wanawatumia hao wadada kama chambo ya kuwakamata na kulinda wateja.Wanawaambia wanaume chagua unayetaka akuhudumie! lakini tatizo lililopo wanaume hawajui kuwa kila mwanaume anayeenda pale anapewa
huduma kama yake!

Ushauri sio sheria jiheshimu na kuwa serious ukienda sehemu hizo pia wadada wa saloon, acheni tabia ya kugawa namba za simu na kuwatega wanaume heshimu kazi zenu hiyo ni ajira kama zingine, msishushe thamani ya kazi na utu wenu.

Nakaribisha wenye uzoefu na hii sector.tuwarudishe kwenye mstari baadhi ya ndugu zetu waliopinda.

Week end is over kesho ni . . kula kwa jasho.
Hawa wako very creative, ni wajasiamali wabunifu sana.
 
Hawa wako very creative, ni wajasiamali wabunifu sana.
Sana mkuu ukiona wanavyoyachezea masikio na shingo kuelekea mgongoni!.mwanaume unabaki unamwayamwaya na kubadili mikao huku suruari ikibana ghafla.
 
Back
Top Bottom