Kule nako kuna majanga yakeMkuu, labda mama shopu kuna nafuu! Ha haha ha
mkuu sehemu kama hizo hatutaji majina.wanaweza kukupiga hela ukaja kutujazia watu humu! wee soma vibao ukiona wadada weupe wako nje na ndani jua upo kwenye eneo la tukioPowa wapi sasa, I meant contact ya hiyo sehemu nikapunguze hii afro 70 🙂
Mkuu
mkuu naomba uni pm namba yake. Tafadhali
Wadada wakiona mteja wanahesabu mihela wanajua tip ipo na namba anapewa ya kuendekeza libenekemwaka wa nne huu saluni naziona kwa nje. niliamua kujinyoa mwenyewe, mwanzoni ilikuwa ngumu nilitumi zaid ya saa mbili kujinyoa tena kwa kujipachua pachua, sasa hivi nimekuwa mzoefu ndani ya nusu saa nimejinyoa vizuri MNO na nikiwaambia watu nimejinyoa mwenyewe hawaamini macho yao. Ujinga wa wadada wa saluni (kwa wanaume na hata kwa wanawake wenzao wanaokwenda nyoa low cut ,na hali hatarishi ya kushare vitana,mataulo na mashine za saluni zilinihamasisha kununua shaving kit yangu na kujifunza kujinyoa.
awali nilipoanza nikiwa nimejinyoa hovyo hovyo nilikuwa navaa cape just after a week nywele ziko vizuri ,now fresh niko vizuri.
Hahahaha eti lotion imeandikwajeKuna mdada mmoja alikuwa ananifanyia scrub kwenye saloon moja baada ya kunyoa. Asa nikashangaa anascrub na shingoni upande wa kisogoni. Nikamuuliza hiyo scrub lotion imeandikwaje? Akajibu 'facial scrub'. Nikamuuliza tena huko unakopita nako ni surani? Alinimaindi sana ila akaacha ujinga wake. Tangu siku hiyo nimeacha kufanya hiyo kitu kwa saloon. Nimenunua lotion na mama watoto ndo huwa anascrub kwa sura yangu...
Kumbe inawezekana?mwaka wa nne huu saluni naziona kwa nje. niliamua kujinyoa mwenyewe, mwanzoni ilikuwa ngumu nilitumi zaid ya saa mbili kujinyoa tena kwa kujipachua pachua, sasa hivi nimekuwa mzoefu ndani ya nusu saa nimejinyoa vizuri MNO na nikiwaambia watu nimejinyoa mwenyewe hawaamini macho yao. Ujinga wa wadada wa saluni (kwa wanaume na hata kwa wanawake wenzao wanaokwenda nyoa low cut ,na hali hatarishi ya kushare vitana,mataulo na mashine za saluni zilinihamasisha kununua shaving kit yangu na kujifunza kujinyoa.
awali nilipoanza nikiwa nimejinyoa hovyo hovyo nilikuwa navaa cape just after a week nywele ziko vizuri ,now fresh niko vizuri.
kweli mkuu kuna wanawake wanakwenda pamoja na waume wao saloon.sidhani kama inasaidia kwakuwa mwanaume anaweza kwenda pale bila mwenza kujua.Kuna siku nilikwenda saloon moja na mdogo wangu kulikuwa na wadada watatu ila mmoja wao alikuwa kapangika kisawasawa(namba 8) nilimtania kama nitoke nae akajifanya Kim Kadashian. lakini kumuona tembo mwekundu mfukoni kajaa akaanza kutaka nimpe namba yangu. Nilimwambia nilikuwa nakutania tu. Mdogo wangu si akamtania shemeji yake kama tulifanyiwa face scrub na shoulder massage. Tokea siku hio nikienda saloon basi na yeye lazima aende na sisi.
Una contacts zake mmoja wao, please nitumie.
Hamjui ku value muda na kuoanisha na pesa ( time is money) km una kiu kwa sababu moja au nyingine why not..... huhitaji kujua km kwao wanakula panya au fungo, au km ni majambazi. Unalipa unamaliziwa kiu na kuondoka.. !!
Nikishaona tu baba shopu napita spidi mia
mle hatari mkuu,vishawishi njenje!
Baba mzima unatoka umelowana kabisa ...sitaki huu upuuziNimecheka sana. Hutaki skrabu ya chumvi mkuu? Uso unakuwa softi softi
Sijakuelewa, kunipiga hela kivipi na kukujazia watu humu ? Ni pm chemba basi, km nilivyosema wabongo bado hatu value time.... nizurure tuu kuangalia wadada weupe wakati naweza drive straight ?mkuu sehemu kama hizo hatutaji majina.wanaweza kukupiga hela ukaja kutujazia watu humu! wee soma vibao ukiona wadada weupe wako nje na ndani jua upo kwenye eneo la tukio