Kipilipili
JF-Expert Member
- May 25, 2010
- 2,272
- 1,898
mwaka wa nne huu saluni naziona kwa nje. niliamua kujinyoa mwenyewe, mwanzoni ilikuwa ngumu nilitumi zaid ya saa mbili kujinyoa tena kwa kujipachua pachua, sasa hivi nimekuwa mzoefu ndani ya nusu saa nimejinyoa vizuri MNO na nikiwaambia watu nimejinyoa mwenyewe hawaamini macho yao. Ujinga wa wadada wa saluni (kwa wanaume na hata kwa wanawake wenzao wanaokwenda nyoa low cut ,na hali hatarishi ya kushare vitana,mataulo na mashine za saluni zilinihamasisha kununua shaving kit yangu na kujifunza kujinyoa.
awali nilipoanza nikiwa nimejinyoa hovyo hovyo nilikuwa navaa cape just after a week nywele ziko vizuri ,now fresh niko vizuri.
awali nilipoanza nikiwa nimejinyoa hovyo hovyo nilikuwa navaa cape just after a week nywele ziko vizuri ,now fresh niko vizuri.