Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,809
- 40,560
Unakuaje malaya na wakati huo huo uwe mnyenyekevu?
Ngumu sana hiyo.
Ngumu sana hiyo.
Hivi ukiambiwa uchague kati ya mwanamke malaya ila mnyenyekevu na mwanamke muaminifu ila mjeuri na hautakiwi kuchepuka utachagua yupi kati ya hao?