FENtastic
JF-Expert Member
- Aug 4, 2015
- 6,780
- 10,553
Moron! Is this belongs to you?Unaaga ila unarudi tena, wewe mtoto wa kiume kweli au umesahau jinsia yako?
Moron! Is this belongs to you?Unaaga ila unarudi tena, wewe mtoto wa kiume kweli au umesahau jinsia yako?
Tatizo uyo mpole mkimpata mnamuonaga zoba, mnaenda kuchiti na mabaharia wakorofiMwanaume mpole ni yule ambaye mke wake akifanya makosa anatafuta njia nzuri ya kumrekebisha bila kumfokea wala kumpiga ila sasa nyie watoto wa farao mwee mwee mwee mwee mbombo jilipo
Eti huwa hakubali kushindwaNa hivyo ndugu yako huwa hakubali kushindwa huu uzi anaweza kufikisha kurasa elfu5 akitukanana tu na mtoa mada![]()




.


Wewe hata usiwajibu, waache watukane wakichoka wataondoka. Ni kawaida yao humu, mada ikiwagusa mtoa mada anatukanwa matusi yote na tusi lao kubwa ni kukuita "malaya" ila wanakwenda kuugulia maumivu pembeni.Labda kunitukana kunawafariji, acha watoe sumu. Najua kwa sasa wataanza kuwatafuta wa Pwani wawafundishe.
RegulatingAm regulating this desperate tiddler...
How are you madam...





Regulating
Hebu achana na hizo mambo, huu upande wa wewe haukufai achana nao.

Hashindwagi kitu huyo, mtoa mada asiponyoosha mikono huu uzi unaweza kuvunja rekodi ya ule uzi wa likes.Eti huwa hakubali kushindwa.
Kumbe wanatukanana mwenzio hata kizungu naelewa basi![]()
Hashindwagi kitu huyo, mtoa mada asiponyoosha mikono huu uzi unaweza kuvunja rekodi ya ule uzi wa likes.













.Okay, first and foremost, umeshajiuliza hao wanaolia lia humu ni wanaume au wavulana. Kama haujafahamu, most of these cry baby ni vijana wadogo sana wa level ya advance secondary au aidha wapo chuo wakisoma cheti, diploma au wachache degree. Most of them hata hawajaanza maisha ya kujitegemea na kuwa na majukumu rasmi. So acha kupoteza energy yako kuamini unajua kinachoendelea.Na kuwa romantic na kusaka pesa hakupo kwenye uwezo wenu right?
Nyie ndio hamjui mnachotaka ndio maana hamuishi kuhangaika, sisi tunaridhika na mambo madogo sana ya msingi.
Bahati nzuri ni kwamba life ****.s us all, nyuzi za kulia lia zilizojaa humu ni za wanaume, sasa sijui lini mtaacha kulia lia na kutulia kuwa WANAUME na kuchukua nafasi yenu kwa kutumia akili?

Hahahah mi naweza kufanya ukatili wa kukudatisha hubani tu...Ila kuuana hapana, im not in for that![]()
Kweli........
Tafuteni pesa hayo mengine ni nyongeza.
Kwamba????Kwani sikukuambia.???
Hapa wacha nipite tuUnajua ili useme chakula hiki ni kibaya ni lazima umeshawahi kula chakula kitamu. Hauwezi kusema chakula ni kibaya huku haujui kitamu kipoje.
Hauwezi kusema mwanaume huyu amepooza, au hajui mapenzi kama haujawahi kuwa kwenye mahusiano na watu kadhaa ukaona utofauti.
Wanaoweza ni kwa sababu wanaume wao hao hao ndiyo waliowafundisha mapenzi yaani wameanza nao na wanaendelea nao. Huwa hawaonji nje ili kufananisha kama ladha ni tofauti au lah ndiyo maana tunaweza.
Wasio weza ni wale ambao wameshaonja ladha mbali mbali. Ni sawa na mtu anasema mtu ana kibamia, hawezi kusema hivyo kama hajawahi kukutana na kubwa. Lakini tungekuwa tunatulia kwenye mahusiano haya mambo ya kufananisha fananisha na kugundua kasoro za mwenzako yasingekuwepo.
Vijana wamekula pilipili, wamekosa staha!Hivyo kuna matusi humu? Maana mie nimemuita tu mdogo wangu aje naona tusi likaangushwa, sijasoma uzi wote lol.



ulivyompa middle finger na mimi nikahisi tu kuwa amekutukana
Wananitukana kichaga wanafikiri sielewi.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hapanifai tena humu.Na hivyo ndugu yako huwa hakubali kushindwa huu uzi anaweza kufikisha kurasa elfu5 akitukanana tu na mtoa mada![]()