Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,487
Ule ujumbe hujaupata vizuri eeeh??Mie sitakunyima mabanz ukizinguanadhan tutaenda sawa. Mwanaume mpole ni yupi kwenu?
Hahahaaaa wanawake ndio kidogo nawafahamu. Ila labda kwavile ni wafupi, Si unajua wanaume wafupi wana inferiority complex hivyo gubu lazima.Hivi kumbe eeeh? Kuna mkaka mngoni tulikuaga nae jamani jamani. Kaka ana gubu yule sijawahi kuona. Kitu kidogo atakaa nacho hata week mbili.
Wasamehe bure. Wachaga hawana utaratibu wa kufundisha mapenzi, tunafundishwa kwenda church na kutafuta pesa baaasLabda kunitukana kunawariji, acha watoe sumu. Najua kwa sasa wataanza kuwatafuta wa Pwani wawafundishe.
jipe moyo tu 😆Una uchungu maana yo doomed, umejikatia tamaa kwasababu huwezi kupata unachokitaka.
😂😂😂😂😂 yule baharia alichafukwa mama...sipo tayari kuuaUle ujumbe hujaupata vizuri eeeh??
Hivi kumbe eeeh? Kuna mkaka mngoni tulikuaga nae jamani jamani. Kaka ana gubu yule sijawahi kuona. Kitu kidogo atakaa nacho hata week mbili.







Mie sitakunyima mabanz ukizinguanadhan tutaenda sawa. Mwanaume mpole ni yupi kwenu?
Hebu nawe jiulize hivyo hivyo maana nami nashangaa.
Na kuwa romantic na kusaka pesa hakupo kwenye uwezo wenu right?Tatizo haujaelewa shida yenu ilipo. Sisi vitu tunavyotaka vipo ndani ya uwezo wenu kutupa ni viburi tu vinawafanya mnakuwa wabishi kutupa na ndio maana mnaumia kila uchao. Farasi ukimlazimisha kwenda safari lazima atakubidua kutoka mgongoni pake.
Ninyi mnaongozwa na tamaa na sio mahitaji. Na vitu vingi mnavyotaka huwa vinatugharimu na ndio maana huwa hatuwezi kuwapatia.
Ila ninyi vitu tunataka ni ambavyo havigharimu.....
Sasa ndo muone jinsi gani ilivyo ngumu hata kwetu kuchagua kati ya mwanaume anayeweza kuhudumia ila hajui kujali na mwanaume anayejua kujali ila hawezi kuhudumia msitulaumu tunataka vyote kama ambavyo ninyi mnataka vyote








hili jibu ni la shombo ile nimeshindwa kujizuia kucheka


Tuliza kipapa basi! Kama kinawasha sana kiachie kipumue
Mke anaambiwa kwa upole mara 3 za kwanza akirudia uzembe anakula konzi😂😂😂Mwanaume mpole ni yule ambaye mke wake akifanya makosa anatafuta njia nzuri ya kumrekebisha bila kumfokea wala kumpiga ila sasa nyie watoto wa farao mwee mwee mwee mwee mbombo jilipo
Oop, gunia mbili za mkaa zaweza kukuhusu. Ule mali ya Mangi halafu ukimbie!!!I see!
Huyu namvumilia tu maana namalizia ujenzi wa nyumba yangu niachane nae maana sidhani if i can spend the rest of my life with someone like this. Nitamchoka mapema sana.