Wanaume wa kichaga

Wanaume wa kichaga

Iko hivi

Huwezi kupata mtu mwenye sifa unazotaka kwa 100% Kuna vingine unatakiwa ku compromise tu. Hata ukimpata huyo mwngine lazima kuatakuwa na mapungufu tu.

Tahadhari: Usije kumpiga chini uje ukutane na kimeo cha haja utamani kurudi.
I can not compromise my happiness.
 
Watafuta hela hao unatakiwa kumpenda hivyo hivyo.Culture yao haiwafanyi wawe romantic hawana unyago affairs hawapitii mafundisho ya kijamii ambayo yangeweza kuwafanya kuwa bora kwenye hiyo fani.So inabidi usiangalie udhaifu huo mkubali jinsi alivyo.
Inapotokea udhaifu wake ndicho ninachopenda basi inabidi niwaachie wanaoweza kuyavumilia hayo.
 
Habari wadau wa MMU.
Hivi kuna mtu aliwahi kudate mwanaume wa kichaga akapata its fun being with them?
Niko na huyu mwanaume 2years+ ila amepooza haswaaa, nothing about him is fun. Natafuta tu namana ya kumtoka maana sienjoy kuwa nae.
Kabla yake niliwahi pia kuwa na mwanaume mmoja wa Old Moshi, it was the same. They are not romantic,viburi na hata hawanogi kuwa nao yaani. Hawajachangamka kuanzia sebuleni hadi chumbani wamepooza "kweri kweri".
Nyie mloolewa au mnaodate hawa watu mnawezaje maana mie naona its not my cup of coffee at all.
Kwenye utafutaji kweli wanajitahidi, ila huu upande mwingine wanafanya maisha yanakuwa magumu kweli. Huyu wangu kuna wakati namuangaliaaa hata simmalizi, yes he is handsome ila thats all😤😤

Kuulizia ulizia hapa na pale story zikawa ni hizo hizo tu.
Akina Manka sijui wanayawezaje haya.
Ndo maana tunawachoma moto na gunia la mkaa pumbavu.
 
I see you suffering, bad enough yo folks can't even help you.
Hey embecile what are you still doing here?
you're too naive and that's why ur suffering enough
 
We wa kustik na unayejua unachotaka inawezekana uko na mmoja tu uloanza nae au umeoa huyohuyo uloanza nae.

Ila i doubt that maana comments zako zina machungu sana, pole lakini. Thats life.
Ukijua unachotaka its simple, priorities tu. Ningetaka fly bitch ningedeal nae, but im in for a wife bby...So najua how to pick the right cherry no guessworks.
 
Duh sijui Kwann Jana sikuwa nabando ningeenda sambamba nahuu uzi hatua kwahatua
 
Back
Top Bottom