Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,122
- 111,818
Dada jaribu kujibu kwa busara kama ulivyojibu hapa, nmesoma comments zako zote majibu yako ni ya hovyo mno jaribu kubalance majibu yako kuna watu wanachangia vzuri kwa ustaarabu lakini unavyojibu kwa dharau/kejeli yani kama vita vile..Mambo mabaya hutokea kwa watu wema sometimes, na haimaanishi haupaswi kuwa mwema. Yupo atakae appreciate.
Ndio maana huyu nataka nimuache ili ampate atakaeendana nae.
Me nadate manka mmoja ila nilichogundua nyinyi mabinti wa kichaga mnapenda sana mtu aliye romantic sana, hata km ana kibamia ila mwanaume akiwa romantic binti wa kichaga anapenda sana, na pia binti wa kichaga anapenda kuchezewa.....vzr hadi aive, then wakati ngoma inaingia usiingize yote piga juu pale binti wa kichaga anaenjoy sana. Kabila langu ni .....................otea ila cyo mchaga
We we...!!!sijui kwa nini nimejikuta nacheka kwa nguvu
Acha basi utani MkuuKuna sister mmoja alikuwa na wa kutoka hukohuko ilikuwa ni kumboost na ule uji wa Mbegeee yani ni goigoi kn kondoo!!
Mkuu kumbe wewe ni mchaga? Shimboni
Huyu ni wapili sasa, nikapiga story na mashosti walowahi kudate wachaga story is still the same. Nyie wenyewe mmethibitisha kwenye uzi huu kuwa mmechangamka kwenye utafutaji tu sio upande wa pili.
Ulya lakana na kite ekyi kya nkutano ro mae!!!Mama!
Makabila yapo 120+.
Tafuta size yako.
Ukipenda zege kavu, au zege rojo la kutatuka, nini juu yako.
Kama specifically umeshagundua Wachagga kwako ni tatizo, tafuta kabila la size yako.
Kama hatujui mapenzi, imekuwaje Mkoa wa Kilimanjaro ukajaa watu?
Na bado nchi nzima wachagga tumeenea
Wachagga hatufanyi uma
hujasema, ila naweka bookingDid i say natafuta?
Kwani humu ndani mwaweka picha zenu halisi?
Nifungulie milango ya pepo yako basi ; Tuje f tufaidi ayo maakili yako pamojaUnajua ili useme chakula hiki ni kibaya ni lazima umeshawahi kula chakula kitamu. Hauwezi kusema chakula ni kibaya huku haujui kitamu kipoje.
Hauwezi kusema mwanaume huyu amepooza, au hajui mapenzi kama haujawahi kuwa kwenye mahusiano na watu kadhaa ukaona utofauti.
Wanaoweza ni kwa sababu wanaume wao hao hao ndiyo waliowafundisha mapenzi yaani wameanza nao na wanaendelea nao. Huwa hawaonji nje ili kufananisha kama ladha ni tofauti au lah ndiyo maana tunaweza.
Wasio weza ni wale ambao wameshaonja ladha mbali mbali. Ni sawa na mtu anasema mtu ana kibamia, hawezi kusema hivyo kama hajawahi kukutana na kubwa. Lakini tungekuwa tunatulia kwenye mahusiano haya mambo ya kufananisha fananisha na kugundua kasoro za mwenzako yasingekuwepo.
Bora mimi nimejitafutia zangu binti mzuri wa kichaga tunafaidi maisha haya magumegume ya singida yanaweza kukuulia kitandani
Milango ya pepoNifungulie milango ya pepo yako basi ; Tuje f tufaidi ayo maakili yako pamoja
ww mwenyewe inaelekea kitandani una lalaga kama gogo yy ana poteza hisia, ila nahisi unataka ale 0714 lakini mchaga hawezi kula ni watu wa dini sana. Ushauri achana nae ukaolewe na Piere liquid au Dudu baya au baba dimond (dudu la yuyu)Habari wadau wa MMU.
Hivi kuna mtu aliwahi kudate mwanaume wa kichaga akapata its fun being with them?
Niko na huyu mwanaume 2years+ ila amepooza haswaaa, nothing about him is fun. Natafuta tu namana ya kumtoka maana sienjoy kuwa nae.
Kabla yake niliwahi pia kuwa na mwanaume mmoja wa Old Moshi, it was the same. They are not romantic,viburi na hata hawanogi kuwa nao yaani. Hawajachangamka kuanzia sebuleni hadi chumbani wamepooza "kweri kweri".
Nyie mloolewa au mnaodate hawa watu mnawezaje maana mie naona its not my cup of coffee at all.
Kwenye utafutaji kweli wanajitahidi, ila huu upande mwingine wanafanya maisha yanakuwa magumu kweli. Huyu wangu kuna wakati namuangaliaaa hata simmalizi, yes he is handsome ila thats all😤😤
Kuulizia ulizia hapa na pale story zikawa ni hizo hizo tu.
Akina Manka sijui wanayawezaje haya.