WISE BOY
JF-Expert Member
- Dec 26, 2011
- 782
- 244
Wao wanajua kutafuta hela na kiukweli hela wanazo lakini kwenye mapenzi ni 0, hata kutongoza wengi wao hawajui wanajua kuhonga tu, na wanawake wanawakubali sababu wanapewa matumizi yakutosha ila wengi wa wake zao au magirl friend zao wana wanaume wapembeni wa kuwaridhisha kimapenzi. USIBISHE FANYA UTAFITI
Nimegundua ni kwa nn wachaga wanatuzidi maendeleo makabila yalio mengi, kama akili ndio hii basi wataendelea kutuacha mbali. They think abt life, we think abt sex. Kama ulivyosema X GIRLFRIEND, inawezekana pia wapenzi wa wapenda ngono ni lazima waende kwa wachaga pia maana ngono haitawavisha wala kuwalisha, so kwa mtazamo wako basi wao wachaga ndio watakao ongoza kwa kutubebea wake na gf zetu sisi tunaowaza ngona 4 life