Wanaume wa kichaga hawajui mapenzi

Wanaume wa kichaga hawajui mapenzi

No research no right to speak,mtoa mada ningekupa nafasi ya upendeleo tuingie katika mahusiano ya mkataba kwa muda fulani hakika utajatoa ushuhuda na kuomba mods wafute huu uzi,unajadili mapenzi kwa kabila? O.m.g
 
kwani uongo jamani.wachaga asilimia tisini na tisa hawajui mapenzi.isipokuwa mmarangu wanguuuuu tuuuuuuuuuu.
 
ilikuwa "wanawake wa kichaga wazuri kwa sura na hawajui Mapenzi",
zoezi limegeuka! naona sana ni wanaume wa kichaga! jamani hizi topic kuhusu wachaga hapa JF zimekuwa nyingi mno!
inaboa sasa!

Hapo kwenye RED inahu.....!
 
X- GIRLFRIEND mara nyingi mtu huongelea kitu alichokuana nacho katika maisha, sasa unapotoa hoja kama hiyo inatakiwa uturidhishe kwa kutuonesha takwimu ulizozifanya, Je, umetembea na wachaga wangapi na makabila mengine wangapi! Na kati ya hayo magroup mawili ni kwa asilimia gani wamekufikisha? Hapo ndipo research yako itakuwa na mashiko.
 
Wao wanajua kutafuta hela na kiukweli hela wanazo lakini kwenye mapenzi ni 0, hata kutongoza wengi wao hawajui wanajua kuhonga tu, na wanawake wanawakubali sababu wanapewa matumizi yakutosha ila wengi wa wake zao au magirl friend zao wana wanaume wapembeni wa kuwaridhisha kimapenzi. USIBISHE FANYA UTAFITI
YANI WE USHINDWE KUFIKISHWA HUKO NA HUYO X BOYFRIEND WAKO (ambaye nafikiri hana hadhi ya kuitwa mwanaume since we ushamwona ni boy!wanaume wetu wa ukweli hatuwaiti boy bibi we!)naendelea........af uje hapa ututukanie waume zetu!nyambaf............. nazi ukishindwa kukuna usiilaumu haijakomaa!jiulize mkao wako!mwanamke unakuna nazi miguu umebana kwa mbele unawaza itakunika!yani umenikera queli queli!
 
chonde chonde snowhite,

msamehe bure, X-Girlfriend ametoa hoja tu wapendwa
 
YANI WE USHINDWE KUFIKISHWA HUKO NA HUYO X BOYFRIEND WAKO (ambaye nafikiri hana hadhi ya kuitwa mwanaume since we ushamwona ni boy!wanaume wetu wa ukweli hatuwaiti boy bibi we!)naendelea........af uje hapa ututukanie waume zetu!nyambaf............. nazi ukishindwa kukuna usiilaumu haijakomaa!jiulize mkao wako!mwanamke unakuna nazi miguu umebana kwa mbele unawaza itakunika!yani umenikera queli queli!

snowhite
: duh, leo umeamua kukunjuka kama vile umetekenywa kwenye K*******. Muaaaaaaachee!
 
Tatizo hata hayo unayoyaorodhesha nayo hawayawezi
to me their my favorite
maisha sio ngono tu,kuna starehe nyingi
ngono inaaply kwa % chache
kuna starehe nyingi,kunywa mvinyo,kuwatch movie,kuchatchat nk
so kwangu mimi sijali kungonoka
i love u chagas
 
i remember my grand pa told that 'ukimuona mtu anaongea juu yako mara kwa mara ujue una special thing ndani yako'' so chagas your the best of the best dont be boared when you saw thread like ths. the only things to do is to thanks GOD for make you special in more than 50 triable
 
Wao wanajua kutafuta hela na kiukweli hela wanazo lakini kwenye mapenzi ni 0, hata kutongoza wengi wao hawajui wanajua kuhonga tu, na wanawake wanawakubali sababu wanapewa matumizi yakutosha ila wengi wa wake zao au magirl friend zao wana wanaume wapembeni wa kuwaridhisha kimapenzi. USIBISHE FANYA UTAFITI
Huu ni ukweli kabisa, haswa Wapare wao wanajua kufanya kazi tuu, ila kwenye kuwaridhisha wake ao majumbani mwao ni ZERO kabisa.
 
Wao wanajua kutafuta hela na kiukweli hela wanazo lakini kwenye mapenzi ni 0, hata kutongoza wengi wao hawajui wanajua kuhonga tu, na wanawake wanawakubali sababu wanapewa matumizi yakutosha ila wengi wa wake zao au magirl friend zao wana wanaume wapembeni wa kuwaridhisha kimapenzi. USIBISHE FANYA UTAFITI

huo utafiti wako umefanyia wapi? kwa taarifa yako wamekuona kwamba hufai na hawatakuoa kamwe. Kwanza yaelekea wewe ni mchunaji na wameshakushtukia. Utasubiri sana na wanaume wa kichagga watazidi kupeta. inahuu
 
Wao wanajua kutafuta hela na kiukweli hela wanazo lakini kwenye mapenzi ni 0, hata kutongoza wengi wao hawajui wanajua kuhonga tu, na wanawake wanawakubali sababu wanapewa matumizi yakutosha ila wengi wa wake zao au magirl friend zao wana wanaume wapembeni wa kuwaridhisha kimapenzi. USIBISHE FANYA UTAFITI

Kamwe siwezi KUKUBISHIA wewe ambaye umeshalala na wachaga wote.
 
to me their my favorite
maisha sio ngono tu,kuna starehe nyingi
ngono inaaply kwa % chache
kuna starehe nyingi,kunywa mvinyo,kuwatch movie,kuchatchat nk
so kwangu mimi sijali kungonoka
i love u chagas

Lazima uwe na matatizo, ngono in-apply kwa asilimia nyingi!!
 
Back
Top Bottom