Wanaume wa kichaga hawajui mapenzi

Bwaha.ha.haaaaaaaaa! Niecheka mpaka jamaa wamekuja kuchungulia ofisini. Hiyo kitu nilikuwa nkiisikia kwa bibi akikasirika. Mpaka leo bado sijajua maana yake. Angalau shwaini, blalyfuu, korikodio na shenzi type nimekuja kuielewa.
Hahahaha. . . Blariful. .

Hivi unajua bibi zetu walikua wajanja na wenye akili sana? Muulize huyu kiumbe kama bibi yake anajua maana ya blariful = BLOODY FOOL uone.
 
Very interesting . Wadada wanalalamika waume wa Kichaga hawajui mapenzi . Wanaume humu humu wanalalamika wadada wa kichaga hawajui mapenzi. This means Wachaga hawajui mapenzi .

Hivi mapenzi ndio nini? Is it that bed game which every Tom Dik and Jery plus Ngo'mbe mbuzi, kondoo, kuku etc etc know and do without any kind of training? Or is it the handling of the other party?

Mimi naona mwenye thread anataka kusema wanaume wa Kichaga hawajui that dirty game, where both of you , shamelessly and stupidly throw away all your cloths, creep each other in a an awkward position for ten minutes then you do not like it anymore. Could this be what you meant madam?
Remember that, that dirty game has one rule only, and that is either ''in or out'' nothing else. Are you telling us that Chaggas can'nt follow that simple rule or what? Do they go out instead of in and vise versa ? Heh heh . Vingine ni madoido tu .

Kama unamaanisha mapenzi ya mume /ke Wachaga wako juu.Waulize madadas wenye wapenzi Wachaga watakupa data. Kwa hiyo ulichosema hapa ni uongo mtupu Mangi. I log off
 
ahahaaa mkuu sio shwaini ni shuwaini iwe ikite,kiroroma eki
 
Vibinti vilivozoea kusuguliwa tangu vikiwa nasare skuli, akili zao zinafikiria ngono tu! Hayo mashimo yangekuwa yanajaa ingesaidia sana kupunguza haya masredi upupu..... CRAP at its best
Heshima yako swty babu,
Hope uko poa,
Punguza hasira babu si unajua wachaga tunavopendezesha jukwaaa!
Tuna cha ziada ndio maana wakimaliza kuongelea jinsia sijui zitafata wilaya na vijiji vya uchagani!!!
 
Hahahaha. . . Blariful. .

Hivi unajua bibi zetu walikua wajanja na wenye akili sana? Muulize huyu kiumbe kama bibi yake anajua maana ya blariful = BLOODY FOOL uone.
ahahaaa lizy kumbe ndo maana yake na shuwaini je? ahahaaaaaaa mbavu zangu
 
Wao wanajua kutafuta hela na kiukweli hela wanazo lakini kwenye mapenzi ni 0, hata kutongoza wengi wao hawajui wanajua kuhonga tu, na wanawake wanawakubali sababu wanapewa matumizi yakutosha ila wengi wa wake zao au magirl friend zao wana wanaume wapembeni wa kuwaridhisha kimapenzi. USIBISHE FANYA UTAFITI

Nadhani wanaume wa kichaga wamekugonga vya kutosha hadi ukaja na hii conclusion...
 
Wao wanajua kutafuta hela na kiukweli hela wanazo lakini kwenye mapenzi ni 0, hata kutongoza wengi wao hawajui wanajua kuhonga tu, na wanawake wanawakubali sababu wanapewa matumizi yakutosha ila wengi wa wake zao au magirl friend zao wana wanaume wapembeni wa kuwaridhisha kimapenzi. USIBISHE FANYA UTAFITI

Uchunguzi wako umefanyia wapi? Ama ushachukua sample ya wao kadhaa ukawapa wakawa hawawezi?
 
Bwaha.ha.haaaaaaaaa! Niecheka mpaka jamaa wamekuja kuchungulia ofisini. Hiyo kitu nilikuwa nkiisikia kwa bibi akikasirika. Mpaka leo bado sijajua maana yake. Angalau shwaini, blalyfuu, korikodio na shenzi type nimekuja kuielewa.
Hebu twende kwenye ule uzi tukayaongee haya mambo yetu..........achana na huyu malabuku, blalyfuu!!
 
Ndo maana ukawa x girlfriend maana unapenda ngono zaidi ya kitu chochote. Uliachwa kwa sababu ya kuipa ngono kipaumbele na kama mambo yenyewe ndo haya hatutajakaa tuendelee. Na hii inakwenda kwa wote wale wanaoanzisha threads kuhusu wachagga
Kuwasema sema hovyo and sh*t like that y'all suck and screw you big time!!
 
Very interesting . Wadada wanalalamika waume wa Kichaga hawajui mapenzi . Wanaume humu humu wanalalamika wadada wa kichaga hawajui mapenzi. This means Wachaga hawajui mapenzi .

Hivi mapenzi ndio nini? Is it that bed game which every Tom Dik and Jery plus Ngo'mbe mbuzi, kondoo, kuku etc etc know and do without any kind of training? Or is it the handling of the other party?

Mimi naona mwenye thread anataka kusema wanaume wa Kichaga hawajui that dirty game, where both of you , shamelessly and stupidly throw away all your cloths, creep each other in a an awkward position for ten minutes then you do not like it anymore. Could this be what you meant madam?
Remember that, that dirty game has one rule only, and that is either ''in or out'' nothing else. Are you telling us that Chaggas can'nt follow that simple rule or what? Do they go out instead of in and vise versa ? Heh heh . Vingine ni madoido tu .

Kama unamaanisha mapenzi ya mume /ke Wachaga wako juu.Waulize madadas wenye wapenzi Wachaga watakupa data. Kwa hiyo ulichosema hapa ni uongo mtupu Mangi. I log off
mmmmmh kaka yamekuwa hayo achana nae huyo bwana
 
Vibinti vilivozoea kusuguliwa tangu vikiwa nasare skuli, akili zao zinafikiria ngono tu! Hayo mashimo yangekuwa yanajaa ingesaidia sana kupunguza haya masredi upupu..... CRAP at its best
hahahah:lol::lol::lol:....Babu mbavu zangu umezivunja!!!!
 
Siku zote naamin mtu akikufatilia na kukuweka midomon umemzidi tu,
Kwa hili la kuwekwa midomon mwa watu kila kukicha humu jamvin naamini wachaga tumewazi kwa mengi,
Hatuitaji promo tuko juu tangu enzi ya mkolon,
Tuachien kaka na baba zetu kwan huwa wanahangaika na maisha sio ngono wakati wote ebo?
 
Back
Top Bottom