Wanaume wa jf manaoa lini?

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Wapenzi wa jf muda muafa kuhimizana kuwa na wenza wetu jamaninajua kuna wengi wanashida na kuogopa kuoa kuhisi kuongeza matatizo la hasha ndoa ni njema na baraka usiogope majaribu hata yesu alijaribiwa..je wewe nasema wewe unaesoma unaoa lini...embu jitahdi kuwa na mwenzako mpendwa...achana na vikaragosi wa kwenye bar vile vijimambp vya pale makumbusho embu fikiria muda muafaka wa kuwa na familia na watoto...usiogope ndoa na majaribu yameumbwa kwa kila mtu kama wale waendao jela bila makosaFANYA UAMUZI WAKO SASA....TAFUTA MCHUMBA
 
Uliweka mkataba na watu kwamba wataoa au unawazushia tu ? Au unatafuta mtu wa kukuoa ?
 
wee nani alikuambia watu hawajaoa? au na wewe unatafuta mume?
 
watu sasa tunatafuta nyumba ndogo tena , wewe ndo kwanza unauliza tunaowa lini? hehehehe hivi na wewe unaolewa lini?
 
watu sasa tunatafuta nyumba ndogo tena , wewe ndo kwanza unauliza tunaowa lini? hehehehe hivi na wewe unaolewa lini?

halafu wewe baada ya WC ndio ukapotea kabisa....nimekumiss mwenzio ujue
 
halafu wewe baada ya WC ndio ukapotea kabisa....nimekumiss mwenzio ujue
hehehe na mimi nilikumiso kweli mpaka nikawa samtaimu naandika jina yako kwenye kanote book kaofisini. nilikuwa kwenye konfrensi ya global warming nchini bangaladeshistan
 
swala la kuoa ni jambo la kuyatoa mhanga maisha yako kwa mtu mwingine
usiyemjua nyuma ya pazia hata hivyo ni jukumu linalohitaji sana hekima,
na si jambo la kulichukulia oya oya tu,

wale walioolewa ama kuoa wamekubari kuwa wapiganaji hasa,
maana wameamu kuingia msitu ambao kwa nje huonekana
hauna wanyama, bali kwa ndani ukishafika kunahitaji ujasili
wa hali ya juu, maana kuna kila zuri na la hatari pia lipo
 
hujampata tu wa ubani wako,ukimpata utasimulia mengine..
Not at all Rose ni uamuzi wa kimaisha huu wala si kwamba sijawaona wakufaa nimeamua kuwa hivi nilivyo kama mkombozi alivyokuwa ili niiendeleze kazi yake!
 
kuoa au kutokuoa.. hilo ndilo swali? Lakini kwani kuna mashindano kwamba ukichelewa basi utakosa?

umenichekesha sana, basi bwana watu husema kila siku binti olewa muda unakwenda, sijawahi kuelewa huu muda unakwenda wapi ni kwamba tunatakiwa kukimbizana na muda au tunatakiwa kupata tunaopendana nao kwa dhati ili tuolewe
 
Hakuna kitu kinachosababisha majuto na machungu ndani ya maisha ya ndoa kama kuja kutambua kuwa ulikimbilia ndoa kwa sababu watu wengine wote walikuwa wanakuhimiza utimize wajibu.
 
Hakuna kitu kinachosababisha majuto na machungu ndani ya maisha ya ndoa kama kuja kutambua kuwa ulikimbilia ndoa kwa sababu watu wengine wote walikuwa wanakuhimiza utimize wajibu.

Aisee kweli kabisa. Au licha ya hata wengine kukuhimiza.....wewe mwenyewe tu unaweza kufuata mkumbo baada ya kuona wenzako wakuzungukao wameoa au kuolewa na wewe ukajipa shinikizo la kuwa na hiyo 'status' na matokeo yake you end up settling for less or marrying the wrong person. So it's better to do it on your own timetable without rushing.
 
Back
Top Bottom