tulivyokwambia ng`ombe 45 haukuona RED FLAG?Hahaa ..kwamba mnajua kuwa mliniuzia kanya Boya.. Aisee mahari yangu muirejeshe tafadhali ..kile kiwango cha mahari ..ningeamua kununua ng'ombe wa maziwa sasa hivi ningekuwa na ng'ombe wengi wakutosha tu
Kigezo mojawapo hichoYeah ni kweli... Nadhani ulianza kuhisi kuwa ni chai .. Kwa sababu ya I'd yenyewe ambayo imepost hii habari
[emoji3][emoji3][emoji3]Hahaa kwamba ..wanaofikwa na mabalaa huwa wanakuja na fk I'd humu ndio huwa wanazitumia kutapika nyongo.... Huku wakiziacha salama I'd zao zilizo zoeleka...
Ukija na ID mpya kutema nyongo usiache kunitag [emoji3][emoji3][emoji3]Hahaha jf raha ... Hata Mimi nikifikwa kweli na majanga "kama nataka kuyatapika ..katu siwezi kuja kuya wasilisha kwa kutumia I'd hii ..hahaha
Mkuu upo?Ukija na ID mpya kutema nyongo usiache kunitag [emoji3][emoji3][emoji3]
Hahaha Aisee .....dahAsante mkuu mana nilikula BAN ya milele,kila nikitaka kuja na new id naona jamaa hawanikubalii,sijui walipiga ban mpaka email yangu,nikaona sio kesi nikafungua email account ingine na sasa nipo mjengoni.
Asante sana.
Uliwafanya nini mods aise ..sababu ya kupigwa ban ya karne ni ipi !?Asante mkuu mana nilikula BAN ya milele,kila nikitaka kuja na new id naona jamaa hawanikubalii,sijui walipiga ban mpaka email yangu,nikaona sio kesi nikafungua email account ingine na sasa nipo mjengoni.
Asante sana.
Ongeza email zaidi upanuwe wigo.Asante mkuu mana nilikula BAN ya milele,kila nikitaka kuja na new id naona jamaa hawanikubalii,sijui walipiga ban mpaka email yangu,nikaona sio kesi nikafungua email account ingine na sasa nipo mjengoni.
Asante sana.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahaha mkuu Ina maana kile tulichokuwa tunakiongea ...kimejiri mapema yote hii ...
Enhee huyu nae ni nani mbona bado sijamtambua Aise
Kama upo nyumbani naunga mkono hoja nikajua unaandika ukiwa kwenye kifua cha bintiH
Hahaha hii chai mkuu inabaraka zote za TFDA na TBS .... nipo home chief ndio naanza kuukusanya usingizi hapa