Wanaume wa Jf "hala hala na mke wangu

Wanaume wa Jf "hala hala na mke wangu

Hahaa.... Mkuu naona ume mind baada ya kuambiwa hii ni fiction ..watu wa jf mnapenda sana " wenzenu tufikwe na mabalaa eeh
Unajua unaposoma mambo yaliyo mfika mwenzio unakuwa ktk rhym na mdundo wa shida ya kile kinachosimuliwa, sasa mwishoni inasema ni story tu. Aisee kweli ww boya umekula umeshiba unasumbua watu. Aisee nime mind sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
H

Hahaha .... Asante aise na shukuru kwa kunitusi
 
Back
Top Bottom