Wanaume wa Jf "hala hala na mke wangu

Wanaume wa Jf "hala hala na mke wangu

Hapana nawapa evidence ...halafu nakata shauri la kuachana nae .... Nia thabiti nikutaka wao wajue kwamba waliniuzia mbuzi kwa gunia
hiyo ni aibu yako mkuu, hiyo siri unatakiwa kuwa nayo mpaka unakufa...au unamuacha kimyakimya
na harusi ulivyoifanya kwa mbwembe,,,tutadai michango yetu uliyotuchangisha whatsapp hakuna namna...
 
M
My ribs ... Kwanini ulihisi kahawa wewe mzee ... Tuanzie hapo kwanza ...

Naona ulikuwa umeshajiandaa ku-logout nakuitelekeza I'd yako ... What if ungekuta umetajwa kwenye Uzi kuwa unamnyapia wife !?
Katika orodha ya Ke niliowahi/ninaochat nao PM, sidhani kama ungeninasa.

Labda iwe kwa figisu tu kunikomoa
 
hiyo ni aibu yako mkuu, hiyo siri unatakiwa kuwa nayo mpaka unakufa...au unamuacha kimyakimya
na harusi ulivyoifanya kwa mbwembe,,,tutadai michango yetu uliyotuchangisha whatsapp hakuna namna...
Hahaha siri yangu !!!? Aah wapi ... Siwezi kuwaelezea watu baki kilichojiri ..but kwao lazima wafahamu ukweli... Ni kwao tu wakishajua basi naamua kukaa kimya
 
Katika orodha ya Ke niliowahi/ninaochat nao PM, sidhani kama ungeninasa.

Labda iwe kwa figisu tu kunikomoa
Alaaa ... Now you're talking .. Kwakuwa nimesema hii ni chai ehh !!? Sawa mkuu wee tamba tu
 
G
Geeezzz
Kuassume ni muhimu sana mkuu.

Kuna vitu vingine bila kuvi assume ni vigumu kuvifanya.

Nilipogesi ndio nikawa nasubiri confirmation ambayo nimeipata mwishoni mwa stori
 
Hahaha siri yangu !!!? Aah wapi ... Siwezi kuwaelezea watu baki kilichojiri ..but kwao lazima wafahamu ukweli... Ni kwao tu wakishajua basi naamua kukaa kimya
hahaha sisi kama familia ukweli tunaujua toka siku nyingi,,,,kwa hiyo kaeni chini muongee wenyewe,,
sisi haituhusu,!!!
 
hahaha sisi kama familia ukweli tunaujua toka siku nyingi,,,,kwa hiyo kaeni chini muongee wenyewe,,
sisi haituhusu,!!!
Hahaa ..kwamba mnajua kuwa mliniuzia kanya Boya.. Aisee mahari yangu muirejeshe tafadhali ..kile kiwango cha mahari ..ningeamua kununua ng'ombe wa maziwa sasa hivi ningekuwa na ng'ombe wengi wakutosha tu
 
Kuassume ni muhimu sana mkuu.

Kuna vitu vingine bila kuvi assume ni vigumu kuvifanya.

Nilipogesi ndio nikawa nasubiri confirmation ambayo nimeipata mwishoni mwa stori
Yeah ni kweli... Nadhani ulianza kuhisi kuwa ni chai .. Kwa sababu ya I'd yenyewe ambayo imepost hii habari
 
Back
Top Bottom