Wanaume wa Jf "hala hala na mke wangu

Wanaume wa Jf "hala hala na mke wangu

Nilivyokuja mbio[emoji1787][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]
 
Kuna mzee mmoja hua ni swahiba wangu sana, siku moja tunapiga story akawa ananipa vituko vya mitandaoni, akaielezea Facebook na vituko vyake, akaja Instagram na Vioja vyake, akaja mpaka kwenye dating sites nikashangaa wee mzee hadi kule upo!! akanipa majina yake anayotumia huko nikamuuliza eenh na Jamii forum upo??
kwanza akakataa baadae akakubali haya nipe Id yako nikucheki aligoma kabisaaa mpaka leo ananiambia tu nakusoma sana Jf lakini yeye hataki nimsome sijawahi kuacha kushangaa ajabu hili la jf.
 
J

Jf ni mji uliojaa vimbwanga ' vya kustaajabisha haswaa mkuu ..... Waweza kukuta huyo mzee haitumii vizuri that's why amekataa kukutajia I'd yake ...aliogopa kwamba laiti ukimbaini utajikuta hauoni tena umuhimu wa kumuheshimu tena
 
Huenda humu anajifanya msela wa miaka 20 maana yule mzee muhuni sana.

(hahahaha sipati picha akiona hii comment, lol)
 
Back
Top Bottom