Wanaume wa Jf "hala hala na mke wangu

Wanaume wa Jf "hala hala na mke wangu

M
Toka mwanzo nilipoanza kuisoma nilijua ni khahawa ya Rubusta ya kupeperushi usingizi
My ribs ... Kwanini ulihisi kahawa wewe mzee ... Tuanzie hapo kwanza ...

Naona ulikuwa umeshajiandaa ku-logout nakuitelekeza I'd yako ... What if ungekuta umetajwa kwenye Uzi kuwa unamnyapia wife !?
 
hahaha sasa unashtaki unadhani watakurudishia mahari!!!!
au watakwambia poleee!!!!!,,,..
Hapana nawapa evidence ...halafu nakata shauri la kuachana nae .... Nia thabiti nikutaka wao wajue kwamba waliniuzia mbuzi kwa gunia
 
Nilishtuka sana Mkuu,maana kuna mke wa mtu huko pm tumefikia pazuri!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Halafu avatar yako inafanana na jamaa anajiita Kigogo kule Twitter, sijui itakuwa ni wewe?[emoji85][emoji85]
 
[emoji3][emoji3][emoji3] kwamba unamjua hearly mzee wa chai sio

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha hana lolote huyo... Wajua alikuwa anasoma huu Uzi huku anachungulia chungulia kama jina lake lipo au halipo katika wale wanaume niliotaka kuwataja kuwa wanatoka na wife ... Baada ya kuona kuwa sijataja majina ndio kapata nguvu ya kuja hapa
 
Back
Top Bottom