Wanaume wa dsm hao, chips kuku wa kizungu!!!

Ewaa... na wewe basi acha kufiatiia maisha ya wanaume wenzio . Si unaona kila mtu anakushangaa? Huyo uliyepost picha yake unamjua? Mi namjua ndo maana nimemaindi ulivomdhalilisha...
Hii mara ya pili nahesabu ndugu, usione nimesahau!!!
 
Oyaaa wee umetumwa nini, ebu achana na mimi, umri huu unaniwekea beat, mie sio kijana mwenzako tafadhali kijana
Umri wako sio kinga kwenye kosa la jinai.. Unafikiri kuna mtu ana muda wa kumpiga mtu beat.. Unapost picha za watu husio wafahamu humu.. wewe dawa yako ndogo tu.. subiri!!
 
Back
Top Bottom