Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,325
We jamaa una utani nao kabisaaa...Mimi sipo
Wanashushia na pepsi,ndomana mabango ya nguvu za kiume yanazidi kuchafua jiji lenu la dar.
pilao ni chakula cha mwanaume?Siku hizi mtu akitafuta kick lazima awaseme wanaume wa Dar. Mimi naona pilau na kuku sioni chips hapo.
Shida ya ugoro ni kuharibu akili. Binti zenu wakija mjini kufanya kazi wanarudi na mimba, hamjiulizi wanapewa na nani?