Wanaume wa dsm hao, chips kuku wa kizungu!!!

Oyaaa achana na mimi hunijui sikujui, na wala huyo jamaa kwenye huu uzi aliowekwa umjui ndio maana nikakuuliza una uhakika labda ni jamaa yangu wa karibu, au unatafuta kiki.
Haito chukua siku nikiamua kukujua mkuu.. kumfanyia dhambi mtu mwingine hata kama ni jamaa yako wa karibu haikufanyi kuwa nje ya hatia kaka. Jiangalie sana!
 
Haito chukua siku nikiamua kukujua mkuu.. kumfanyia dhambi mtu mwingine hata kama ni jamaa yako wa karibu haikufanyi kuwa nje ya hatia kaka. Jiangalie sana!
Oyaaa wee umetumwa nini, ebu achana na mimi, umri huu unaniwekea beat, mie sio kijana mwenzako tafadhali kijana
 
Naona JF imeanza umea. Mods inakuaje post za umbea kama hizi mnaziendekeza. Kwani kula kuku ni tatizo. Akiamungu kama ndyo mimi ningekushtaki na unilipe fidia kwa huu upuuzi wako.
 
Siku hizi mtu akitafuta kick lazima awaseme wanaume wa Dar. Mimi naona pilau na kuku sioni chips hapo.

Shida ya ugoro ni kuharibu akili. Binti zenu wakija mjini kufanya kazi wanarudi na mimba, hamjiulizi wanapewa na nani?
Ukiona mwanaume anafuatilia maisha ya mwanaume mwenzie ujue huyo si rizki.

Ndo kama hawa sasa. Unaweza kudhani anabeza kumbe anatafuta bwana.
 
Mkuu umemuamulia kama mbwai na iwe mbwai
Uzi wangu mimi na bado simu yangu mimi, vocha nimenunua mimi umeme kwenye kucharge simu nanunua mimi, yeye ananishikia bango sasa simuelewi atufahamiani na wala anijui, sijui anataka nini kwangu!
 
Uzi wangu mimi na bado simu yangu mimi, vocha nimenunua mimi umeme kwenye kucharge simu nanunua mimi, yeye ananishikia bango sasa simuelewi atufahamiani na wala anijui, sijui anataka nini kwangu!
watu wengine sijui huwa wanalazimiswa kuangalia nyuzi za watu. hawajui kupita kimya kimya. Achana nao
 
dfc66360b1660807ebceafbe1214e54e.jpg

Hiyo hapo chini ni Mirinda nyeusi au Fanta........
 
Wanaume wa dar hawawezi kukubenjua we wa shambani usiyejua kuchamba
Alafu wee mwanangu kitambo nakuona, tangu niingie humu unapenda sana kunimaindi nakumbuka kuna uzi wangu mmoja niliurusha humu, ulikuwa unaelezea jinsi wezi wanavyodandia magari ya ngano na kuiba, ukanitukana na kunikebehi sana sasa, unalolitafuta kwangu utalipata tu siwezi kuvumilia matusi yako ya kuniita mimi bwabwa ndugu haina noma.
 
Ewaa... na wewe basi acha kufiatiia maisha ya wanaume wenzio . Si unaona kila mtu anakushangaa? Huyo uliyepost picha yake unamjua? Mi namjua ndo maana nimemaindi ulivomdhalilisha...
 
Back
Top Bottom