Wanaume wa Dar buana...!

Wanaume wa Dar buana...!

Eti mnabeba mimba miezi tisa sisi tunao wabeba kwenye pumbu miaka na miaka siyo watu!? Tukisema tuwape na ninyi hiyo miezi tisa mtusaidie kidogo tu, ndo inakua nongwa!? Mngelizaliwa wanaume basi. Alafu mtupatie sisi mimba. Pumbavu, Umelewa petrol nini!?
 
mm huwa nakaa nyuma sitaki stress ya kuwaza nimpishe mtu au la, maana ukute hapo ni safari ya gomzi hadi masaki ,
 
Eti mnabeba mimba miezi tisa sisi tunao wabeba kwenye pumbu miaka na miaka siyo watu!? Tukisema tuwape na ninyi hiyo miezi tisa mtusaidie kidogo tu, ndo inakua nongwa!? Mngelizaliwa wanaume basi. Alafu mtupatie sisi mimba. Pumbavu, Umelewa petrol nini!?
Hahahaha
Aisee
 
Usinikumbushe mimi mambo ya kusaidia siti au kusaidia mtoto kwenye daladala.

Niliwahi msaidia mdada kubeba mtoto kufika mbele sikumuona. (Alishukia njiani halafu kuna wenzake walimuona sasa)
Nikampeleka mtoto polisi, nikaambiwa inabidi ukakae nae uache mawasiliano tutoe tangazo mamake akipatikana umlete.
Nikawaaga polisi naenda kununua vocha.
Sikurudi tena!!

Siku nyingine nikamsaidia mjamzito siti, katika kuinuka kumpisha simu ikadondoka kwenye siti akaificha kifuani, (hakuwahi kuizima).
mara ikapigiwa...sasa mlio wa simu naujua nikaanza kujisachi ....sioni simu!!! Kuskiliza vizuri inaitia katikati ya manyonyo ya mjamzito...khaaa!! Nikamuuliza vipi imekuwaje!? Eti nisameheee.

Kuanzia hapo nikajiona msaada wangu unakuwaga na gundu tu BORA MPEANE WENYEWE (WANAWAKE/WANAWAKE) msaada.
Noma sana mkuu alafu huwaga wanahisi ni jukumu lako kumpisha kwenye siti akee...!! japo kweli wenye mimba huwa wanakuwa hoi sana mkuu Yani balaaa
 
Usinikumbushe mimi mambo ya kusaidia siti au kusaidia mtoto kwenye daladala.

Niliwahi msaidia mdada kubeba mtoto kufika mbele sikumuona. (Alishukia njiani halafu kuna wenzake walimuona sasa)
Nikampeleka mtoto polisi, nikaambiwa inabidi ukakae nae uache mawasiliano tutoe tangazo mamake akipatikana umlete.
Nikawaaga polisi naenda kununua vocha.
Sikurudi tena!!

Siku nyingine nikamsaidia mjamzito siti, katika kuinuka kumpisha simu ikadondoka kwenye siti akaificha kifuani, (hakuwahi kuizima).
mara ikapigiwa...sasa mlio wa simu naujua nikaanza kujisachi ....sioni simu!!! Kuskiliza vizuri inaitia katikati ya manyonyo ya mjamzito...khaaa!! Nikamuuliza vipi imekuwaje!? Eti nisameheee.

Kuanzia hapo nikajiona msaada wangu unakuwaga na gundu tu BORA MPEANE WENYEWE (WANAWAKE/WANAWAKE) msaada.
Haha pole sana mdau
 
Mie kusema kweli mpaka leo hii sijaelewaga huu msemo wa kwamba wanawake hatupendani. totally untrue! Mtu wa kumsitiri mwanamke ni mwanamke mwenzake, angalau kwa asilimia kubwa! Sijui kwa nini tunalazimishwa kuwa tunachukiana. And yes, yoyote angeweza kumpisha huyo mama alimradi yupo karibu, sasa ina maana wote tukinyanyuka nani atakaa 😀😀.
 
Wanasisitiza hivyo kwa sababu wanataka iwe hivyo watutawale vizuri. Divide and rule
 
Kama mnajua machungu ya mimba kwanini msipishane?
Sisi hata hatujui hiyo mimba ina uzito na maudhi gani.

Ikitokea nimepanda dalala huwa naangalia vitu 2. Kimoja, jua liko upande gani nikae safe. Pili sikai siti za mwanzo mwanzo ili nipishe watu.
 
Ila ni changamoto sn muda mwingine anaweza kuingia mtu mwenye uhitaji siku hiyo ukawa uko ovyo kabisa umajichokea kwny shughuli zako kiasi kwamba hata kusimama unaona shida hapo kupisha ngumu lkn pia kuna wale binadamu unakuta ana mtoto au ni mjamzito anaona kabisa gari halina seat na kuna magari mengine ambayo anaweza kusubiri kidogo akapata seat cha ajabu unakuta anaingia kwny lililojaa kisa tu anajua atapishwa kwny seat,wkt mwingine inabidi ujijali lkn pia ujali na wengine kwa wale wenye mahitaji maalum makubwa mf hana mguu mmoja nk hao sawa maana
 
Habari ya weekend wakuu...
Leo bwana kwenye daladala ya huku kwetu gomz kimetokea kisa kimoja. Aliingia kwenye daladala mama mwenye mtoto na siti ya mbele kabisa karibu na mlangoni alikaa m'baba kwa kumuangalia anaweza kuwa yupo mid/late 40s. Kando yake alisimama mwanaume mwingine wa makamo yaleyale, basi yule aliyekaa akasimama kumpisha yule mama akae. Aliposimama akaanza kumwaga povu (kumbe alikuwa ameambiwa na yule aliyesimama kuwa amsaidie mtoto ).... Wacha ateme povu eti ooh wanawake hampendani, mwenzenu anaingia mnashindwa kumpisha kwa sababu gani? Mwenzie akawa anamtuliza, walikuwa hawajamuona si unaona gari imejaa? Ye kakomaa hamna walikuwa wamemuona wanawake wana roho mbaya sana, yaani hawapendani kabisa.
Kusema kweli yule mama aliyeingia na mtoto mimi sikumuona maana nilikuwa nimejilalia zangu usingizi, na hata ningemuona nisingempisha bali ningempokea mtoto.
Ila yule baba mimi kanishangaza sana, ni kwa nini anadhani sisi wanawake ndio tunatakiwa kupisha? Kwanza yeye alikuwa jirani kabisa pale kwa hiyo badala ya yeye kupisha alitaka atokee mwanamke aliyekaa nyumba ndio apishe?
Niwaulize ninyi wanaume, hivi akiingia mama mwenye mtoto au mjamzito anayetakiwa kuwa wa kwanza kunyanyuka kwenye siti ni ninyi au sisi? Yaani sisi tunabeba mimba miezi tisa, tunalea hadi watoto wanafikia umri wa kujitegemea eti inapotokea tupo huru yaani hatuna mimba wala mtoto wa kunyonyesha bado tuna wajibu wa kuwapisha wenzetu walio katika hali hizo???! Kweli leo nimejua kuwa ni shughuli pevu kuzaliwa mwanamke Afrika, nadhani wanawake wa Afrika tuna mbingu yetu spesho maana sio kwa kazi hii tuliyonayo. Nilitaka nimtolee uvivu yule mwanaume ila nikaamua nikae kimya maana nilikuwa na my uncle mmoja naheshimiana nae na anajua mimi siongeagi kabisa nikaamua kuilinda image yangu
Hebu tuoneeni huruma

NB: Hapa nazungumza na wale ambao huwa wanapisha sio wale makauzu
Mimi naomba nicmame kwenye swali lako la " Ninyi wanaume kama anaingia mwanamke mja mzito au aliyebeba mtoto! Nani anaepaswa kumpisha kwenye cti! Ni mwanaume au mwanamke? Nini maana ya kumpisha huyo mwanamke c no lkwa 7bu ya hiyo Hall laliyonayo? Sasa swali hujibiwa kwa jibu! Lkn jibu utakalonipa kwa swali langu naamini LITATOA jibu ZURI! Kati ya mwanamke na mwanaume ni NANI anaejua kama ni UCHUNGU au WEPESI wa huyo mama kwa wakati huo?
 
Vipi kama sijawahi kupitia hiyo hali?
 
Back
Top Bottom