D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,661
- 121,086
zamani nilikuwa na tabia ya kumpisha mwanamke kwenye siti haijalishi ni mdogo kama kirikou lakini siku hizi tabia hiyo nimeacha.
kwani haoni kama gari imeshajaaa?