PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,444
Aise kumbe ndio wewe ulikuwa unasinzia





Ha haa!
Utaratibu wa kupisha watu kiti kwenye dala dala nilishauacha tangu mwaka 2006! Huyo unayempisha kiti, yeye pesa ambayo angenunulia gari ya kutembelea kajengea nyumba na anakulipisha kodi kila mwezi bila kupunguza hata senti moja! Why nimpishie. Kumpisha kiti mtu, labda awe mlemavu. Mzee, sijui mama mwenye mtoto, simpishi. Kama unajua una mtoto, panda boda boda ukapandie dala dala inapoanzia upate siti au geuza na dala dala upate siti. Mie nipande boda boda hadi stendi ili nipate siti afu nije kukupisha kirahisi? Huo moyo sina kwa kweli!
Mambo ya kupakatia mitoto ya watu, wengine hawajavalishwa pampas aje kukunyea au kukukojolea afu akuharibie siku bure! Kila mtu apambane na hali yake kwenye hili...
Habari ya weekend wakuu...
Leo bwana kwenye daladala ya huku kwetu gomz kimetokea kisa kimoja. Aliingia kwenye daladala mama mwenye mtoto na siti ya mbele kabisa karibu na mlangoni alikaa m'baba kwa kumuangalia anaweza kuwa yupo mid/late 40s. Kando yake alisimama mwanaume mwingine wa makamo yaleyale, basi yule aliyekaa akasimama kumpisha yule mama akae. Aliposimama akaanza kumwaga povu (kumbe alikuwa ameambiwa na yule aliyesimama kuwa amsaidie mtoto ).... Wacha ateme povu eti ooh wanawake hampendani, mwenzenu anaingia mnashindwa kumpisha kwa sababu gani? Mwenzie akawa anamtuliza, walikuwa hawajamuona si unaona gari imejaa? Ye kakomaa hamna walikuwa wamemuona wanawake wana roho mbaya sana, yaani hawapendani kabisa.
Kusema kweli yule mama aliyeingia na mtoto mimi sikumuona maana nilikuwa nimejilalia zangu usingizi, na hata ningemuona nisingempisha bali ningempokea mtoto.
Ila yule baba mimi kanishangaza sana, ni kwa nini anadhani sisi wanawake ndio tunatakiwa kupisha? Kwanza yeye alikuwa jirani kabisa pale kwa hiyo badala ya yeye kupisha alitaka atokee mwanamke aliyekaa nyumba ndio apishe?
Niwaulize ninyi wanaume, hivi akiingia mama mwenye mtoto au mjamzito anayetakiwa kuwa wa kwanza kunyanyuka kwenye siti ni ninyi au sisi? Yaani sisi tunabeba mimba miezi tisa, tunalea hadi watoto wanafikia umri wa kujitegemea eti inapotokea tupo huru yaani hatuna mimba wala mtoto wa kunyonyesha bado tuna wajibu wa kuwapisha wenzetu walio katika hali hizo???! Kweli leo nimejua kuwa ni shughuli pevu kuzaliwa mwanamke Afrika, nadhani wanawake wa Afrika tuna mbingu yetu spesho maana sio kwa kazi hii tuliyonayo. Nilitaka nimtolee uvivu yule mwanaume ila nikaamua nikae kimya maana nilikuwa na my uncle mmoja naheshimiana nae na anajua mimi siongeagi kabisanikaamua kuilinda image yangu
Hebu tuoneeni huruma
NB: Hapa nazungumza na wale ambao huwa wanapisha sio wale makauzu
Hahahaaa inakuwaje sikuona hii komenti...umetisha mkuu. Maisha yako chaguo lakoHa haa!
Utaratibu wa kupisha watu kiti kwenye dala dala nilishauacha tangu mwaka 2006! Huyo unayempisha kiti, yeye pesa ambayo angenunulia gari ya kutembelea kajengea nyumba na anakulipisha kodi kila mwezi bila kupunguza hata senti moja! Why nimpishie. Kumpisha kiti mtu, labda awe mlemavu. Mzee, sijui mama mwenye mtoto, simpishi. Kama unajua una mtoto, panda boda boda ukapandie dala dala inapoanzia upate siti au geuza na dala dala upate siti. Mie nipande boda boda hadi stendi ili nipate siti afu nije kukupisha kirahisi? Huo moyo sina kwa kweli!
Mambo ya kupakatia mitoto ya watu, wengine hawajavalishwa pampas aje kukunyea au kukukojolea afu akuharibie siku bure! Kila mtu apambane na hali yake kwenye hili...
Sio chuki, mimi binafsi huwa naona kama wanaume wana wajibu wa kupisha nikiona midume imejikausha ndio nanyanyuka

Sio baba mwanaume yeyote
#Nilikuwa nimelala
#nilijuaje kama moja kati wanaume alisema hampishe yule mama
Nawaza kwa sauti maana sipendi ujinga



Kifupi stori nimeifupisha mkuu na kwa namna nilivyoandika hapo utaona kabisa niligundua baadae kuwa aliambiwa hivyo.#Nilikuwa nimelala
#nilijuaje kama moja kati wanaume alisema hampishe yule mama
Nawaza kwa sauti maana sipendi ujinga
Vipi dume linalopisha halafu linaanza kumwaga povu kama vile kuna mtu kalishikia mtutu lisimame wakati limesimama kwa hiyari yake
Haha sawa mkuu. Mimi sijakataa kupisha tena mimi ni mpishaji mzuri tu mradi niwe fiti. Lakini unaweza kuniambia ni kwa nini yule mwenzenu alikomaa kwa sisi ndio tulitakiwa kupisha ilhali yeye ndio alikuwa karibu na huyo mama anayehitaji msaada?Kama huna mimba na umejisikia kumpisha mjamzito au nwenye mtoto fanya kwa utashi wako.
Ila kusema huwa mnabeba mimba kwahiyo usipokuwa na mimba usimpishe mwenzako ni hoja ya kipumbavu sana. Naona ni kama mnalazimisha watu wawaonee sympathy wakati ni majukumu halali kwenu.
Mwanamke wa Afrika anakuwa proud kuwa mwanamke wa kiafrika na anafanya majukumu yake with proud hata kama anaface difficulties zozote zile ila anasimama imara.
Nyie wanawake wa sasa mnaleta uzungu wa kimagharibi na kulazimisha waume zenu waafrika waufuate, ndio maana hata mnalazimisha mwanaume wako apige goti wakati anakuvalisha pete wakati huo utamaduni haukuwahi kuwepo afrika.
Usitafute sympathy kutekeleza majukumu yako. Kama unaona mateso sana usiolewe na usizae kabisa.
hivi huoni hapo uliyemkusudia kumpa story now kaelewa storyKifupi stori nimeifupisha mkuu na kwa namna nilivyoandika hapo utaona kabisa niligundua baadae kuwa aliambiwa hivyo.
Iko hivi, kwanza sijasema alimwambia ampishe, ila alimwambia amsaidie mtoto. Wakati ubishani unaendelea yule alivyoona mwenzie kapaniki akamwambia ' lakini mimi sijakuambia umpishe kwenye siti ila nilisema umsaidie mtoto' akajibu ' mimi nampakataje mtoto? Akilia nitamnyonyesha' ?
Wanawake tunapitia mengi mkuu, unaweza kuniona sina mimba wala mtoto ukajua niko huru kumbe tumbo la period limenikamata sawasawa au naumwa kiuno, wengine huwa wanaanza kuumwa hata wiki moja kabla ya kupaa angani. Mkuu we acha tu, siku ambazo mwanamke anainjoi maisha yake hapa duniani ni chache mno.sio kwamba tunapenda sema mishipa ya aibu tunayo ila nyie ni makauzu sana hamna aibu...
Eti ulikuwa umelala halafu umemuona mwanamke amepanda daladala na motto, how? Umeonaje wakati ulilala?
Halafu tena unasema hukumuona, maana ungemuona ungempisha, Aisee!
Sasa, mwanamke aliyezaa ndiye anajua uchungu kuliko mwanaume, so preferably, wewe mwanamke ndiye ulipaswa kumpisha huyo mama akae iwapo uliona wanaume wamegoma.
iron butterfly amepost thread anadai wanawake hampendani, therefore, I concur with iron butterfly maana kilichotokea kwenye hill daladala la Gongo la Mboto ni sadifu kwamba wanawake hampendani