Patience123
JF-Expert Member
- Mar 10, 2013
- 5,092
- 8,788
Hizo ni ndoa au adhabu? Pole mkuu.Mwanamke mpole boring,labda awe mpole kupitiliza,lakini wapole ndio nnaowataka kwa sasa.Hao majike dume,ngumi mkononi,mdomo kama mc mi sitaki hata kuwaona.we mtu unarudi kutoka kazini umechoka unakaa nje mpaka uone taa imezimwa ndio unaingia ndani,ili kuepusha balaa.